Wakili Malangalila: Mhadhiri wa UDOM aachiwa kwa dhamana, Mahakama yakataa ombi la fidia

Wakili Malangalila: Mhadhiri wa UDOM aachiwa kwa dhamana, Mahakama yakataa ombi la fidia

Halafu kila kukicha mnamtukana Kikwete aliewapa uhuru kukosoa na pia kuchagiliwa kwa wabunge wengi wa upinzani
Ssio hawakuthubutu, ni Kikwete mwenyewe ndio alikubali kuwepo uhuru wa kuongea na kukosoa
Haya sasa kazi kwenu
Kama zamani hukuwahi kuiba ukabadilika ukawa jambazi bado utakuwa yuleyule.
 
Hivi kila akisema mtu kitu tofauti ni uchochezi? Hizi sheria zimebaki kuwa just a tool to silence people wasitoe maoni yao, inaboa sana.
 
Back
Top Bottom