Wakili Matata: Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Magharibi wako Hospitali ya Rufaa Katavi kufuatilia hali ya Sativa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi Wakili msomi Dickson Matata amesema uongozi wa CHADEMA Kanda na Mkoa ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti Mh. Masanja huko hospitali ya Rufaa Katavi kufuatilia hali ya afya ya Mwakalebela au Sativa ambaye yuko ICU.

1719657154647.jpeg

Matata ametoa Taarifa ukurasani X

=====

Pia soma: Alichosimulia Edgar Mwakalebela "Sativa" kuhusu waliomteka na kumpiga Risasi ya Kichwa
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Magharibi Wakili msomi Dickson Matata amesema uongozi wa Chadema Kanda na mkoa ukiongozwa na makamu mwenyekiti mh Masanja uko hospitali ya Rufaa Katavi kufuatilia hali ya afya ya Mwakalebela au Sativa ambaye yuko ICU

Matata ametoa Taarifa ukurasani X

Get well Soon SATIVA.

Kama lengo lilikua kumpeleka Katavi, njia rahisi ingekua kupita Mbeya au Tabora. Kwanini wazungukie Arusha? Walienda kumfuata nani Arusha?

Je aliyeorganize unyama huo yupo Arusha? Ni nani anaishi Arusha mwenye uzoefu wa kuteka, kutesa na kuua?
 
Arusha walienda kuripoti kwa mkuu wa kitengo
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Magharibi Wakili msomi Dickson Matata amesema uongozi wa Chadema Kanda na mkoa ukiongozwa na makamu mwenyekiti mh Masanja uko hospitali ya Rufaa Katavi kufuatilia hali ya afya ya Mwakalebela au Sativa ambaye yuko ICU

Matata ametoa Taarifa ukurasani X
Dogo asikubali kutumika kisiasa naona chadema wanataka kumfanya kete yao
 
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Magharibi Wakili msomi Dickson Matata amesema uongozi wa Chadema Kanda na mkoa ukiongozwa na makamu mwenyekiti mh Masanja uko hospitali ya Rufaa Katavi kufuatilia hali ya afya ya Mwakalebela au Sativa ambaye yuko ICU

Matata ametoa Taarifa ukurasani X
Jambo jema Muovu CCM ashindwe
 
Back
Top Bottom