Wakili Matata: Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Magharibi wako Hospitali ya Rufaa Katavi kufuatilia hali ya Sativa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716

Get well Soon SATIVA.

Kama lengo lilikua kumpeleka Katavi, njia rahisi ingekua kupita Mbeya au Tabora. Kwanini wazungukie Arusha? Walienda kumfuata nani Arusha?

Je aliyeorganize unyama huo yupo Arusha? Ni nani anaishi Arusha mwenye uzoefu wa kuteka, kutesa na kuua?
 
Arusha walienda kuripoti kwa mkuu wa kitengo
 
Dogo asikubali kutumika kisiasa naona chadema wanataka kumfanya kete yao
 
Jambo jema Muovu CCM ashindwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…