Uchaguzi 2020 Wakili Methusela Gwajima amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea ubunge jimbo la Kawe kupitia CCM

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Wakili Methusela Gwajima leo Iulai 15, amechukua fomu kuchuana na kaka yake Askofu Josephat Gwajima pamoja na watia nia wengine ambao wamechukua fomu kuwania Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Habari Star TV Tanzania

Unaweza kudhani ni Hatua nzuri ila hapa kwa Jicho la Ndege Tai inaweza ikawa ni Tiketi ya Kumkosesha Mmoja au hata Wakaukosa Wote vile vile.
 
Kila mtu ana maisha na matamanio yake hata kama ni ndugu kila mtu ana maisha na malengo yake,mtegemea cha nduguye hufa angali masikini
 
Hapa ndiyo umejibu ' Upuuzi / Ungumbaru ' gani huu Mkuu?
 
Wakili Methusela Gwajima leo Iulai 15, amechukua fomu kuchuana na kaka yake Askofu Josephat Gwajima pamoja na watia nia wengine ambao wamechukua fomu kuwania Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Habari Star TV Tanzania

Unaweza kudhani ni Hatua nzuri ila hapa kwa Jicho la Ndege Tai inaweza ikawa ni Tiketi ya Kumkosesha Mmoja au hata Wakaukosa Wote vile vile.

Mkuu vipi na kule butiama??

Mako & Madaraka
 
Mkuu vipi na kule butiama??

Mako & Madaraka
Mako alishafeli katika siasa na amehangaika sana apumzike na anapaswa kumwachia Madaraka sasa maana hii ni hazina iliyojificha wengi hawaujui uwezo wake kutokana na kutokuwa na maneno mengi pia hana vikundi vya majungu.
 
Hapa ndiyo umejibu ' Upuuzi / Ungumbaru ' gani huu Mkuu?
Wewe ndie ngumbaru mkuu, sasa ulitaka tujibu unavyopenda wewe,we fala nini? si lazima sote tuwe na maoni sawa kama unavyopenda wewe.
 
itakuwa ni backup ya Gwaji Boy

Kama ni hivyo basi nadhani itakuwa ni ' backup ' ya ' Kipumbavu / Kipopoma ' kabisa kwa Mimi kuwahi Kuishuhudia katika Uhai wangu wote huu.
 
Mako alishafeli katika siasa na amehangaika sana apumzike na anapaswa kumwachia Madaraka sasa maana hii ni hazina iliyojificha wengi hawaujui uwezo wake kutokana na kutokuwa na maneno mengi pia hana vikundi vya majungu.

Kama humjui Madaraka vizuri ni kheri ukanyamaza tu kwani huenda ukawa unasema hapa halafu tunaomjua in and out tukawa tunakudharau mno.
 
Wewe ndie ngumbaru mkuu, sasa ulitaka tujibu unavyopenda wewe,we fala nini? si lazima sote tuwe na maoni sawa kama unavyopenda wewe.

Pole sana ' Ngumbaru / Mpuuzi ' kwani naona sasa ni rasmi kabisa kuwa ' Sindano ' yangu niliyokupa imekuingia kisawasawa hadi Umeshapaniki!
 
Wanasema wanatengeneza CV, Ubunge sio lazima sana.

Upuuzi huu wa sijui ' Wanatengeneza CV, Ubunge sio lazima sana ' kamwe huwezi Kuukuta katika Mataifa yenye Watu Intelligent kama tu Rwanda.
 
Maisha magumu huku kitaa kila unachofanya hakiendi,sasa watu wanaona bora wakimbilie kwenye Ubunge wakikosa basi Magufuli atawateuwa kama alivyofanya 2015.
 
Back
Top Bottom