Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Kama umetambua kuwa ana IQ na ukamsifia inatosha. Mimi kutaka kuuju ili inifae nini?Nina uhakika kwakuwa namjua 100% na usitake Kunijua zaidi sawa? Kwa IQ ( Akili ) ninamsifia Madaraka ni ' Genius ' ila Kuongoza hawezi kabisa!