GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kila mtu ana maisha na matamanio yake hata kama ni ndugu kila mtu ana maisha na malengo yake,mtegemea cha nduguye hufa angali masikiniWakili Methusela Gwajima leo Iulai 15, amechukua fomu kuchuana na kaka yake Askofu Josephat Gwajima pamoja na watia nia wengine ambao wamechukua fomu kuwania Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Habari Star TV Tanzania
Unaweza kudhani ni Hatua nzuri ila hapa kwa Jicho la Ndege Tai inaweza ikawa ni Tiketi ya Kumkosesha Mmoja au hata Wakaukosa Wote vile vile.
Kila mtu ana maisha na matamanio yake hata kama ni ndugu kila mtu ana maisha na malengo yake,mtegemea cha nduguye hufa angali masikini
Wakili Methusela Gwajima leo Iulai 15, amechukua fomu kuchuana na kaka yake Askofu Josephat Gwajima pamoja na watia nia wengine ambao wamechukua fomu kuwania Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Habari Star TV Tanzania
Unaweza kudhani ni Hatua nzuri ila hapa kwa Jicho la Ndege Tai inaweza ikawa ni Tiketi ya Kumkosesha Mmoja au hata Wakaukosa Wote vile vile.
Kweli huko nako kuna mambo.Mkuu vipi na kule butiama??
Mako & Madaraka
Mkuu vipi na kule butiama??
Mako & Madaraka
Mako alishafeli katika siasa na amehangaika sana apumzike na anapaswa kumwachia Madaraka sasa maana hii ni hazina iliyojificha wengi hawaujui uwezo wake kutokana na kutokuwa na maneno mengi pia hana vikundi vya majungu.Mkuu vipi na kule butiama??
Mako & Madaraka
Wewe ndie ngumbaru mkuu, sasa ulitaka tujibu unavyopenda wewe,we fala nini? si lazima sote tuwe na maoni sawa kama unavyopenda wewe.Hapa ndiyo umejibu ' Upuuzi / Ungumbaru ' gani huu Mkuu?
itakuwa ni backup ya Gwaji Boy
Mako alishafeli katika siasa na amehangaika sana apumzike na anapaswa kumwachia Madaraka sasa maana hii ni hazina iliyojificha wengi hawaujui uwezo wake kutokana na kutokuwa na maneno mengi pia hana vikundi vya majungu.
Una hakika Mkuu?Kama humjui Madaraka vizuri ni kheri ukanyamaza tu kwani huenda ukawa unasema hapa halafu tunaomjua in and out tukawa tunakudharau mno.
Wewe ndie ngumbaru mkuu, sasa ulitaka tujibu unavyopenda wewe,we fala nini? si lazima sote tuwe na maoni sawa kama unavyopenda wewe.
Una hakika Mkuu?
Wanasema wanatengeneza CV, Ubunge sio lazima sana.
Upuuzi huu wa sijui ' Wanatengeneza CV, Ubunge sio lazima sana ' kamwe huwezi Kuukuta katika Mataifa yenye Watu Intelligent kama tu Rwanda.