Wakili Mkuu wa Serikali Boniface Luhende Hana Sifa ya Kusimama Mahakamani

Kuna yule ‘Brian Mwenda’ wa Kenya. Jamaa kagushi vyeti vya uwakili, kaingia mahakamani na kashinda kesi zote 26 alizokuwa defence lawyer nyingine zimesikilizwa mahakama kuu kabla ya kustukiwa na kukamatwa.
 
Hakuna kesi tunayo shindwa ni ufisadi wanao tushitaki wametumwa na serikali dhalimu ya ccm na tunapokwenda kujitstea ni kundi moja mshitakiwa na mshitaki ni njama mojawanakula meza moja mavuno ya kesi
 
Hiyo ndio iwe hoja ila ulichokiandika hapo awali hakina mantiki.
 
Ila hii sura? Duh 🙄
 
mahakamani au kwenye tribunal (ambazo wengine wanaenda hata sio mawakili). hii pia ulitakiwa kuunganisha.
 
Tehetehe....hata oksijen prinsipo itatumika, wewe endelea kusoma tuvitabu twako, sheria is a living creature
Wewe nenda ukanye halafu ukalale kabla ya shemeji yako hajarudi. Tatizo la kuishi mjini kwa hisani ya dada
 
oh, bahati mbaya peter madeleka ni sawa na mwanafunzi wangu. ila namheshimu kwasababu ni wakili mwenzangu. unakosea unaposema amenizidi akili.
Onyesha uwezo wako wa akili kwa kujenga hoja dhidi ya hoja za Madeleka? Ila nina wasiwasi kama wewe ni Wakili. Weka namba yako hapa tukukague kwenye mtandao wa e-Wakili
 
Mpaka sasa sijawahi ona state attorney akiwa amehuisha leseni yake ya uwakili. Nawajua wengi sana na status yao iko hivyo hivyo karibu wote.
 
Tofauti yake ni nini?
Kutumia mtandao wa e-wakili kama msingi wa hoja kwamba wakili mkuu wa serikali anakosa sifa kusimama mahakamani kwakua katika mtandao huo anaonekana hajahuisha leseni ni hoja batili kwakua mtandao huo unatumika na mawakili binafsi tu na sio wale wanaofanya kazi serikalini.

Ni kweli alikua wakili binafsi kabla ya kuingia huko serikalini ila aliacha ndio maana status yake inasomeka hajahuisha leseni.

Hoja ya kutotimiza vigezo kwakua hana miaka 15 katika litigation kwa kuangalia muda alioapishwa ndio sahihi na inapaswa kujadiliwa.
 
Mpaka sasa sijawahi ona state attorney akiwa amehuisha leseni yake ya uwakili. Nawajua wengi sana na status yao iko hivyo hivyo karibu wote.
Hiyo siyo excuse bali ni UDHAIFU wa mfumo. Acha kutetea UTOPOLO
 
Wacha kutetea UPUMBAVU!! Haya maujinga yenu ndiyo yanasababisha Serikali inashindwa vibaya huko nje kwenye Mahakama za wenye akili.

Sasa kuna ugumu gani KUHUISHA?
 
Mtumishi wa UMMA huyo.
Note: Mleta mada fikiri vzr na ufanye research ya kutosha kabla ya kupost mada.
 
Mpaka sasa sijawahi ona state attorney akiwa amehuisha leseni yake ya uwakili. Nawajua wengi sana na status yao iko hivyo hivyo karibu wote.
ni kwasababu hawafanyi biashara ya uwakili, wamesalenda kwa CJ, sasa wahuishe leseni ya nini wakati wao wanatetea serikali, sio watu binafsi? kwa mawakili mbona hili linaeleweka?
 
Mtumishi wa UMMA huyo.
Note: Mleta mada fikiri vzr na ufanye research ya kutosha kabla ya kupost mada.

"Ili mtu awe na SIFA za kuwa WAKILI MKUU WA SERIKALI, anatakiwa kuwa na UZOEFU wa KUENDESHA KESI MAHAKAMANI KWA MIAKA 15. Angalia AMRI namba 5(3) hapo 👇. Dr. BONIPHACE LUHENDE alisajiliwa kuwa WAKILI tarehe 6 DISEMBA 2013. Mwaka 2028 ndiyo ANGEKUWA na SIFA za kuwa WAKILI MKUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…