Hakuna jambo baya kama kujua usichokijua.
kwahiyo hajawahi kuhurudhia hata kwenye tribunal tu, manake hapo wamesema kwa miaka hiyo awe aliappear kwenye mahakama, au tribunal. kabla ya 2013 hajawahi kuhudhuria hata tribunal tu? if that is the case, then there might be a problem. pamoja na kwamba, sioni faida kubwa kulishadadia hili, kila mtu anafika pale alipo kwa kudra za Mungu, awe amequalify au hajaqualify, ni vile Mungu angependa kumtumia mtu vile apendavyo na vile alivyo. kuna watu unaweza kuona hawafai kuwepo sehemu fulani lakini Mungu ndio amewafikisha pale, na ukijaribu kuwashambulia unakutana na yule aliyewaweka pale, ndiye utakayepambana naye. siri hii ni kubwa sana katika maisha."Ili mtu awe na SIFA za kuwa WAKILI MKUU WA SERIKALI, anatakiwa kuwa na UZOEFU wa KUENDESHA KESI MAHAKAMANI KWA MIAKA 15. Angalia AMRI namba 5(3) hapo 👇. Dr. BONIPHACE LUHENDE alisajiliwa kuwa WAKILI tarehe 6 DISEMBA 2013. Mwaka 2028 ndiyo ANGEKUWA na SIFA za kuwa WAKILI MKUU
View attachment 2943614
We jamaa mzito sana kuelewa.Wacha kutetea UPUMBAVU!! Haya maujinga yenu ndiyo yanasababisha Serikali inashindwa vibaya huko nje kwenye Mahakama za wenye akili.
Sasa kuna ugumu gani KUHUISHA?
Kwa hiyo umeelewa sasa!! Ila unataka tuendeshe nchi kwa kudra za Mungukwahiyo hajawahi kuhurudhia hata kwenye tribunal tu, manake hapo wamesema kwa miaka hiyo awe aliappear kwenye mahakama, au tribunal. kabla ya 2013 hajawahi kuhudhuria hata tribunal tu? if that is the case, then there might be a problem. pamoja na kwamba, sioni faida kubwa kulishadadia hili, kila mtu anafika pale alipo kwa kudra za Mungu, awe amequalify au hajaqualify, ni vile Mungu angependa kumtumia mtu vile apendavyo na vile alivyo. kuna watu unaweza kuona hawafai kuwepo sehemu fulani lakini Mungu ndio amewafikisha pale, na ukijaribu kuwashambulia unakutana na yule aliyewaweka pale, ndiye utakayepambana naye. siri hii ni kubwa sana katika maisha.
pia, kipimo kile upimacho kwa wenzako, ndicho na wewe utakachopimiwa. vile unavyowafanyia wenzako, na wewe kwa namna moja ama nyingine kwenye maisha yako utafanyiwa tu. chochote unachokifanya ili kutia mchanga kitumbua cha wenzako, na wewe au watoto wako kwa namna moja ama nyingine utakuja kufanyiwa tu kwenye eneo ambao una udhaifu nalo au pengine hata huna udhaifu, ila unalipwa uliyowafanyia wengine. hii sheria katika maisha nimeithibitisha na kuiona kabisa. haimaanishi kwamba hata wewe unastahili kuwepo kwenye kila position katika maisha, iwe uhai, iwe cheo, iwe uwezo wa kutafuta pesa, iwe chochote kinachokufanya ulishe familia yako, vyote ulivyo navyo, ni kwa Neema tu ya Mungu. ukishambulia wengine, na wewe jiandae kushambuliwa kwenye kitumbua unacholishia watoto wako. ni ushauri tu.
Sasa issues za Madeleka zinakujaje hapa? Jibu hoja wewe pimbialiyemchagua yuko sahihi, aliyechaguliwa ni mtu sahihi. My learned brothers this ia nothing to argue. Embu tumuache bwana madeleka pia ana issues zake kuanzisha hilo. Tuliheshimu kama watoto wa sheria, ila huyu muandishi kuna vitu hajavielewa na hataki kuvielewa.
hapo ulipo unaishi kwa neema ya Mungu tu, kuna mengi sana hustahili kabisa. kuna siku utajua hilo kama sasa hauelewi. maisha ni kitu cha ajabu sana, na Mungu ndiye mwamuzi asiyehitaji kuhojiwa wala kulinganishwa na sheria za dunia hii.Kwa hiyo umeelewa sasa!! Ila unataka tuendeshe nchi kwa kudra za Mungu
Nyie wazembe mnamtwisha Mungu hata majukumu yenu ya kawaida. Acheni Mungu afanye kazi yake na nyinyi fanyeni kazi zenuhapo ulipo unaishi kwa neema ya Mungu tu, kuna mengi sana hustahili kabisa. kuna siku utajua hilo kama sasa hauelewi. maisha ni kitu cha ajabu sana, na Mungu ndiye mwamuzi asiyehitaji kuhojiwa wala kulinganishwa na sheria za dunia hii.
Madeleke atawaua hawa watuView attachment 2942815
Mtandao wa e-Wakili ukiingiza namba 4002 utakurudishia jina la Dr Boniface Luhende. Utakuambia pia kuwa haruhusiwi kusimama Mahakamani.
Hii ni aibu kwa Serikali ya Rais Samia na ni aibu pia kwa Mhimili wa Mahakama kuacha mtu asiye na sifa aingie Mahakamani na kujiita Wakili
No wonder nchi hii tunashindwa kesi zote tukiende kwenye Mahakama za Kimataifa kama ICSID.
Kama hahusiki hiyo no 4002 aliipataje?Huyo ni mtumishi wa umma.
Mtandao huo ni kwa mawakili wa kujitegemea.
Taratibu zinasemaje?Huyo ni mtumishi wa umma, huwezi kuwa wakili binafsi halafu ukawa wakili wa serikali, kuna Public Bar Association, na kuna chama cha mawakili binafsi, ukiwa kwa umma lazima usilipie leseni ya uwakili binafsi, you must suspend your practising licence
Taratibu zinasemaje?Huyo ni mtumishi wa umma, huwezi kuwa wakili binafsi halafu ukawa wakili wa serikali, kuna Public Bar Association, na kuna chama cha mawakili binafsi, ukiwa kwa umma lazima usilipie leseni ya uwakili binafsi, you must suspend your practising licence
Taratibu zinasemaje?Huyo ni mtumishi wa umma, huwezi kuwa wakili binafsi halafu ukawa wakili wa serikali, kuna Public Bar Association, na kuna chama cha mawakili binafsi, ukiwa kwa umma lazima usilipie leseni ya uwakili binafsi, you must suspend your practising licence