Wakili Mkuu wa Serikali Boniface Luhende Hana Sifa ya Kusimama Mahakamani

Hatimaye huyu mediocre naye amefikiwa. Ile nafasi ya WAKILI MKUU WA SERIKALI ilikuwa ni kubwa kwake
 
Huyo ni mtumishi wa umma, huwezi kuwa wakili binafsi halafu ukawa wakili wa serikali, kuna Public Bar Association, na kuna chama cha mawakili binafsi, ukiwa kwa umma lazima usilipie leseni ya uwakili binafsi, you must suspend your practising licence
Mbona wakati wa kumchagua Mwabukusi Mawakili wote walipelekwa Dodoma kupiga kura za hapana? Ila wakapiga kura za ndiyo?

Jipange
 
Njoo tena usome ulichoandika hapa Yesu Anakuja
yaani hujaelewa hadi leo, tufanyeje uelewe? Mawakili wote wa serikali hawana leseni kufanya uwakili wakujitegemea, ndio maana ukiingiza majina yao hata leo mfumo utakuambia haruhusiwi, ni kwasababu hana leseni. Jaji Mkuu amenyang'anya leseni zao wote, ila akiacha uwakili wa serikali anapata. wao wakiwa mahakamani wanafanya uwakili kwa vazi la AG (Mwanasheria Mkuu), ndio maana despite miaka yao ya practice wanahesabika ni wakili namba moja kwenye seniority kwasababu AG ndiye wakili namba moja.
 
Mbona wakati wa kumchagua Mwabukusi Mawakili wote walipelekwa Dodoma kupiga kura za hapana? Ila wakapiga kura za ndiyo?

Jipange
wao wanayo public bar ya kwao, ila kwa upande mwingine pia ni members wa TLS na wanalipiwa michango na ofisi zao tangu recently, wao kuwa member wa TLS pekee haiwafanyi kuwa na leseni ya kufanya uwakili wa kujitegemea, kwasababu hata pesa ya umember wanayolipa ni ndogo mno kuliko ile mawakili wa kujitegemea tunalipa. kwa hiyo ni kweli walienda DODOMA kupiga kura kama member wa TLS (wakati pia ni member wa public bar ya kwao, wapo kote), ila hawana leseni, hivyo hawawezi kutetea mtu mahakamani, wanatetea serikali tu ndio maana wanaitwa mawakili wa serikali.
 
Issue ni kwamba hakutimiza miaka 15 ya practice alipokuwa anateuliwa, ndiyo inamfanya asiwe qualified kwenye position ya Wakili wa Serikali
 
Baada ya muda si mrefu utakuta leseni ipo tayari ndugu.
 
Issue ni kwamba hakutimiza miaka 15 ya practice alipokuwa anateuliwa, ndiyo inamfanya asiwe qualified kwenye position ya Wakili wa Serikali
ungelikuwa mwanasheria ungeelewa, huyo anaumwa, ndio maana amekuwa replaced. ndicho usichoelewa. he's in bed right now for months. ndo maana tunasema watu waokoke, ndumba zipo huko maserikalini. vipapatio.
 
ungelikuwa mwanasheria ungeelewa, huyo anaumwa, ndio maana amekuwa replaced. ndicho usichoelewa. he's in bed right now for months. ndo maana tunasema watu waokoke, ndumba zipo huko maserikalini. vipapatio.
Na asipone maana alishiriki kukandamiza haki zangu
 
Uwezo mdogo bana. Mbona kuumwa wanaumwa wengi na wanapona. Kuumwa siyo kufa
sasa huyo posi kaletwa hapo ndio hajawahi hata kupractice, alitoka kufundisha law school, prior to that alikuwa masters south. magufuli alipokuja kugundua kuwa wameweka mtu ambaye hana uzoefu na kesi wanashindwa ndio kamfurusha. ameletwa hapo kwasababu ya DP WORLD alihusika sana kwenye ile kamati, pamoja na AG aliyeteuliwa. wote waliokuwa kwenye timu za DP WORLD wamepewa vyeo, wote, hata wasio na uzoefu. Posi wamshauri, awali alikuwa anahamisha aliowakuta wote wenye uwezo kuliko yeye, bada ya yeye kuondoka wamerudishwa wote na ameenda sasaivi kuwakuta aliowanyanyasa, atafanya kazi kwa wakati mgumu sana, kwanza kwasababu wote anaowaongoza wamemzidi experience na practice.
 
Wangekuwa wamemzidi wangepewa wao hiyo post. Waambie watulize makalio Bosi Posi amekuja
 
Nimesoma mtiririko wa hoja zako kuanzia mwanzo, ulipofika hapa nikajua kabisa wewe si mwanasheria, na kama u mwanasheria, basi ni kanjanja tu.
Umetaka hoja, umepewa, umekimbilia habari za Mungu. Hopeless kabisa!
 
Ali Possii ndio mwanasheria mkuu wa serikali kwa sasa.
 
Kuna kasumba zinawasumbua hao wanasheria wana ule mtazamo wa kizamani kwamba AG ni lazima aingiea mahakamani na atokane moja kwa moja na mifumo ya kimahakama.

Wanasahau kuwa Mzee Warioba hakuanzia kusikiliza kesi za mahakamani, kwanza alianza na nafasi ya AG baadae ndio akaja kuwa jaji wa mahakama kuu.

Pia kuna nafasi ya wakili wa serikali ambayo siku za nyuma haikuwepo, huyu ndio atashughulika na masuala ya kwenda mahakamani. AG ni mshauri wa Rais ambaye ni namba nne kwa nafasi za juu katika nchi hii.

Makanjanja wengi sana wanaovaa masuti meusi na mashati meupe ndani yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…