Walimtulizaje?!Alitulizwa yule,njaa haina adabu.
Huyu mtu alikuwa na list ndefu sana ya watu aliowataka kuthibitisha PhD zao.
Ile kesi iliyeyuka au aliambiwa aiondoe?!
Alikomaa, na Dr.Mary Nagu, na Dr.Nchimbi na wengine wengi, alikuwa na kitabu kabisa, au Naye alipigwa pini akasimamishwa kuwa wakili?
Hizo feki zipo private.Yeye hana shida alichoandika aliandika na ni ukweli. Waliolalamika kudhalilishwa aliwaambia waende mahakamani.
Wachache walioenda mahakamani hata kesi hawakuziendeleza. Kainerugaba yupo anaandikia gazeti fulani la Kiingereza hapa nchini.
Ni kweli enzi zile elimu fake ilitamalaki sana. Kuanzia bachelors, masters mpaka doctorates fake. Asante JPM hio haitatokea kwa sasa!
We nae umekaa kishirika fulani ivi....Walimtulizaje?!
Walimpa cheo au pesa?!
Kuna msemo humu, hakuna mkate mgumu kwenye chai.
Dr wakweli Tanzania hapa ni wale wa muhimbili ama wanaoendelea kuaomea taaluma hizo..Labda na yakikweteHuyu mtu alikuwa na list ndefu sana ya watu aliowataka kuthibitisha PhD zao.
Ile kesi iliyeyuka au aliambiwa aiondoe?!
Alikomaa, na Dr.Mary Nagu, na Dr.Nchimbi na wengine wengi, alikuwa na kitabu kabisa, au Naye alipigwa pini akasimamishwa kuwa wakili?
Tusingekuwa na Rais sasa hivi.Huyu mtu alikuwa na list ndefu sana ya watu aliowataka kuthibitisha PhD zao.
Ile kesi iliyeyuka au aliambiwa aiondoe?!
Alikomaa, na Dr.Mary Nagu, na Dr.Nchimbi na wengine wengi, alikuwa na kitabu kabisa, au Naye alipigwa pini akasimamishwa kuwa wakili?
Kwani Urais ulihitaji PhD?! Mbona waliopita hawakuwa nazo?Tusingekuwa na Rais sasa hivi.
Ya kikwete nayo ni ya kupewa yenyewe inakuwaje ya kweli kushinda za hao kina Nchimbi?!Dr wakweli Tanzania hapa ni wale wa muhimbili ama wanaoendelea kuaomea taaluma hizo..Labda na yakikwete
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yeye hana shida alichoandika aliandika na ni ukweli. Waliolalamika kudhalilishwa aliwaambia waende mahakamani.
Wachache walioenda mahakamani hata kesi hawakuziendeleza. Kainerugaba yupo anaandikia gazeti fulani la Kiingereza hapa nchini.
Ni kweli enzi zile elimu fake ilitamalaki sana. Kuanzia bachelors, masters mpaka doctorates fake. Asante JPM hio haitatokea kwa sasa!
Shirika gani hilo?!We nae umekaa kishirika fulani ivi....
Sikuwahi kukisoma ila nakumbuka alikipromote akatishwa kupelekwa mahakamani na alipelekwa, lakini ghafla akapotea.Nilikisoma kile kitabu lkn aliandika kusanii mno
Nadhani nayo ilikuwa kwenye hicho kitabu cha Msemakweli. Sijui kama kiko sokoni au kilizuiliwa?Ile PhD iliyotoa uhai wa Ben Watch8 ni ya nani?
Kama alipata alichokitaka nadhani ndio kutimiza malengo kwenyewe huko.Alitaka kiki akapata na kupotea ni kama mziki tu
State agent
Katika watu walionisikitisha ni Ben Watch8,Yaani mtu anarestishwa in PC kwasababu ya kuhoji Phd feki ya mtu fulani Khadija Mwenda? Mbona na yeye anatukana watu hadharani na kuwaita vilaza?Ile PhD iliyotoa uhai wa Ben Watch8 ni ya nani?