Wakili msomi Kaneirugaba Msemakweli aliishia wapi na kesi ya wenye PhD feki?

Wakili msomi Kaneirugaba Msemakweli aliishia wapi na kesi ya wenye PhD feki?

Bora atulie vita ya PhD asingeiweza wakati wanufaika wako kwenye power.
Nlimulizaga Vp kwann usingilie vita ya PhD na yule mwenye cheti akaniambia ohhhh hko ngoma ngumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema jamaa mjanja fulani
Ila Sasa kasanda

Ova
 
Yeye hana shida alichoandika aliandika na ni ukweli. Waliolalamika kudhalilishwa aliwaambia waende mahakamani.

Wachache walioenda mahakamani hata kesi hawakuziendeleza. Kainerugaba yupo anaandikia gazeti fulani la Kiingereza hapa nchini.

Ni kweli enzi zile elimu fake ilitamalaki sana. Kuanzia bachelors, masters mpaka doctorates fake. Asante JPM hio haitatokea kwa sasa!
Tuletee ya Jiwe na Bashite
 
Aisee Eriki msemakweli yupo Kinondoni Kwa Mzee maliseli au Gerigory kakiziba, yupo na Jamaa zake Antidius Kajungu, Philbert na Tunu Bashemela wanakuja kivingine
 
Sikuwahi kukisoma ila nakumbuka alikipromote akatishwa kupelekwa mahakamani na alipelekwa, lakini ghafla akapotea.

Wale wauzaji km walikidurufu hivi, maana hata kava zake zilikuwa kava laini za karatasi.
 
Wale wauzaji km walikidurufu hivi, maana hata kava zake zilikuwa kava laini za karatasi.
Hata sielewi unamaanisha nini, lakini hata kukiona pia sijawahi kukiuona ila nakumbuka alitoa kitabu kuhusiana na wenye PhD feki.
 
Nlimulizaga Vp kwann usingilie vita ya PhD na yule mwenye cheti akaniambia ohhhh hko ngoma ngumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema jamaa mjanja fulani
Ila Sasa kasanda

Ova
Watammaliza,
 
Regardless, huwezi kujiita 'kipofu asiyeona', as if kuna kipofu anae ona.
Naamini hayo ni maoni yako, KWANI KUNA KOSA GANI AKIJIITA HIVYO?! Ninavyofahamu mimi unaweza kujiita vyovyote unavyoona muhusika. Wao wameamua kujiita Mawakili Wasomi, sifahamu ni kwanini, na sifahamu kama kuna mawakili wasiosoma hilo ni lao, mimi nitawaita wanavyotaka tuwaite.
Kuna Madaktari wa Tabibu hupenda kuitwa Doctor... au lakini wapo wasiotaka kuitwa Doctor..., jamii imezoea kuwatambua hivyo, lakini hakuna ulazima, unaweza kumuita jina lake moja kwa moja na ukawa hujakosea au kumtendea kosa muhusika.
Nadhani kuna preference na opinion za watu, lakini sioni kosa either or.
 
Watammaliza,
Ile Sakata la manji na Mr many jamaa alivuta Hela..... Nliambulia Hela za bia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Issue ya makongoro mahanga ilibdi mbw amtulize msema kwl mezani..... Afany amsameh deni
Sema kwa watu wa awamu alishasoma nyakati

Huyo mjanja, asirudi huko watammaliza awamu hii.
 
Dr wakweli Tanzania hapa ni wale wa muhimbili ama wanaoendelea kuaomea taaluma hizo..Labda na yakikwete
Ya Kikwete ni ya kuzawadiwa. Nakubaliana na wewe madaktari wapo mahospitalini hawa wengine wanazawadiwa.
 
Wanaharakati huwa hawafanikiwi Tanzania, na kumbuka Deus Kibamba naye alipotea na harakati zake za katiba mpya
Bado yupo kama mwenyekiti wa jukwaa la katiba ila inaonekana naye alilishwa mrungula kama Renatus Mkinga.
 
Teh teh kudurufu ndiyo neno lililokupa shida eeennhh.
Sana, maana hiki Kiswahili unaweza ukadhani neon Fulani linamaanisha kitu Fulani kumbe sivyo hivyo, nikawa muwazi sikuelewa.
 
Bado yupo kama mwenyekiti wa jukwaa la katiba ila inaonekana naye alilishwa mrungula kama Renatus Mkinga.
Wao pesa wanazitoa wapi na hivyo vitaasisi vimenywima pesa za serikali. Zamani walikuwa wanapata chini ya mwavuli wa civil society sijui kama bado wanavuta.
 
Back
Top Bottom