Wakili msomi Kaneirugaba Msemakweli aliishia wapi na kesi ya wenye PhD feki?

Wakili msomi Kaneirugaba Msemakweli aliishia wapi na kesi ya wenye PhD feki?

Kwamba wasomi nchi hii ni mawakili tu au ni Sheria kwamba kabla hujataja jina la wakili lazima utaje na neno "wakili msomi" ?
Mimi nime wa Quote wenyewe, ndiwo hujiita hivyo. Sioni tatizo kuwaita hivyo kama wao wamejiita hivyo.
 
Lakini je ni sawa kwa mtu mwenye kabachelor kake ka Law kisha akapitia Law School kujiita eti wakili msomi ? Wakili asiye msomi anakuwaje ?
Waliisha ulizwa humu, ila sijui walijibu nini. Mimi siyo wakili hivyo siwezi kuwa zungumzia mawakili wasomi.
 
Wao pesa wanazitoa wapi na hivyo vitaasisi vimenywima pesa za serikali. Zamani walikuwa wanapata chini ya mwavuli wa civil society sijui kama bado wanavuta.
Awamu hii wengi wamesanda....wamerudisha mpira kwa kipa.
 
Naamini hayo ni maoni yako, KWANI KUNA KOSA GANI AKIJIITA HIVYO?! Ninavyofahamu mimi unaweza kujiita vyovyote unavyoona muhusika. Wao wameamua kujiita Mawakili Wasomi, sifahamu ni kwanini, na sifahamu kama kuna mawakili wasiosoma hilo ni lao, mimi nitawaita wanavyotaka tuwaite.
Kuna Madaktari wa Tabibu hupenda kuitwa Doctor... au lakini wapo wasiotaka kuitwa Doctor..., jamii imezoea kuwatambua hivyo, lakini hakuna ulazima, unaweza kumuita jina lake moja kwa moja na ukawa hujakosea au kutemtendea kosa muhusika.
Nadhani kuna preference na opinion za watu, lakini sioni kosa either or.
Huelewi msingi wa hoja yangu, kujiita wakili msomi ni tusi kwa wengine, niulize kwanini...
 
Awamu hii wengi wamesanda....wamerudisha mpira kwa kipa.
Kusanda ndio kufanya nini?! Kiswahili ni lugha ya taifa lakini uelewa wa hii misamiati nadhani tunatofautiana, nieleweshe twende pamoja
 
Ya Kikwete ni ya kuzawadiwa. Nakubaliana na wewe madaktari wapo mahospitalini hawa wengine wanazawadiwa.
Ndomana nimetolea yamfano kikwete zakupewa hizi ndozuri hazina longolongo ,hizo wanazojifanya wamesoma kumbe wamehonga
 
Its simple, maana yake wengine sio wasomi, otherwise ingetosha tu ujiite wakili, maana mawakili wote wamesoma.
So why do they call themselves " Wakili Msomi..." at first I thought was all who passed the bar exam and becomes attorneys but, some gave excerpt here it is because of the law school thing, which is a new thing to that profession, I could be wrong but, that is what I understood.

I would careless how they call or introduce themselves, or their colleague wakili msomi or sio wakili msomi, to me this has nothing of value or importance my friend.

Waite mawakili wasomi wajidai.

Mbona engineers nao hujiita?!

Tumeona kuna wengine hujiita prof, Dr, eng...Tatizo nini, waache wajiite kama inawapa self gratification.
 
So why do they call themselves " Wakilu Msomi..." at first I thought was all who passed the bar exam and becomes attorneys but, some have excerpt here it is because of the law school thing, which is a new thing to that profession, I could be wrong but, that is what I understood.
I would careless how they call or introduce themselves, or their colleague wakili msomi or sio wakili msomi, to me this has nothing of value or importance my friend.
Waite mawakili wasim wajidai.
Mbona engineers nao hujiita?! Tumeona kuna wengine hujiita prof, Dr, eng...Tatizo nini, waache waite kama inawapa self gratification.
wana low self esteem mkuu ni profession flani iliyosahaulika si unaona hali za mahakama zilvyo nchini masjala nzuri hakuna majengo chakavu. kuna kipindi jk alitaka kuvunja ile mahakama ya rufaa aweke hotel pale ha ha ha ha ha
 
Hahaha ndio maana nikamwambia jamaa awaite wanavyopenda kujiita au kuitwa, haita mpunguzia chochote na haitawaongezea chochote, lakini inaonekana jamaa hataki hilo jina, sifahamu kwanini.

Wakivaa zile robe wanapendeza huwa sielewi kwanini huwa hawavai muda wote na huku kwetu tuwafahamu, kwangu siyo shida kabisa.
 
So why do they call themselves " Wakili Msomi..." at first I thought was all who passed the bar exam and becomes attorneys but, some gave excerpt here it is because of the law school thing, which is a new thing to that profession, I could be wrong but, that is what I understood.

I would careless how they call or introduce themselves, or their colleague wakili msomi or sio wakili msomi, to me this has nothing of value or importance my friend.

Waite mawakili wasomi wajidai.

Mbona engineers nao hujiita?!

Tumeona kuna wengine hujiita prof, Dr, eng...Tatizo nini, waache wajiite kama inawapa self gratification.
Self gratiffication at the expense of colleagues' self esteem? NO!
 
Back
Top Bottom