- Thread starter
- #21
Anasema yeye ni kipanga, hivi form six alipata ngapi yeye hadi akaenda kusoma "Dipoloma" ya ualimu?!Katika watu walionisikitisha ni Ben Watch8,Yaani mtu anarestishwa in PC kwasababu ya kuhoji Phd feki ya mtu fulani Khadija Mwenda? Mbona na yeye anatukana watu hadharani na kuwaita vilaza?