Wakili Msomi, Naibu Spika, Mhadhiri Mwandamizi na Daktari wa Falsafa wa Sheria, Tulia Ackson awa tishio kwa Spika Job Ndugai

No usikute hii ni vita ya urais 2025. Tulia anaanza kuchapwa mapema ili aondolewe kwenye reli. Kama ana akili akae kimya. Na kama ana mpango 2025 aache, umri wake bado!
 
Wote wawili hao hamna kitu...
 
Bilitamani sana Tulia awe spika huenda tusingesikia utopolo huu ndugai kila kukicha.
 
umetumwa leo
 
Nawe una matatizo! Bungeni wote ni wabunge. Mambo ya Dr, Profesa, wakili, mkulima, mhasibu, injinia, nk. yana thamani gani Bungeni? Hii ndo inawapa kazi ngumu kutuonesha hayo majina.
UN hutasikia vyeo kama hivyo, isipokuwa kwa watu wawili tu! General wa jeshi na daktari wa binadamu. hii ilikubalika kwa sababu fulani ambazo nakupa homework kuzitafuta.
 
..Dr.Tulia anajiandaa kugombea Uraisi.

..mashindano ya ngoma, riadha, na misaada inayotolewa na taasisi yake, lengo ni kugombea Uraisi.

..Na Dr.Tulia alikuwa ni chaguo la mwendazake kati ya wanasiasa ambao angependa wamrithi.
 
Wiv tu kwa sababu waandishi wa habari hamana sifa za title hizo! Ungekuwa lawyer ungejimbafai tu na wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…