Sawa mkuu, nilichanganya na sifa za naibu spika ambaye ndiye lazima awe mbungeYes.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu, nilichanganya na sifa za naibu spika ambaye ndiye lazima awe mbungeYes.
Kamwe usiamini neno au maneno toka kwa MATAGA yeyote.Ndugey alishasema hagombei tena ubunge 2025 so hana mpango na uspika.
Aiseee nchi hii hii au wwpi hukoKugombea Uspika sio lazima uwe Mbunge! Isitoshe wengi husema hawagombei mwisho wa siku wanagombea!
Nadhani amepatia. Ambaye ni lazima awe mbunge ni naibu spikaMkuu wewe Achana nae hajui asemalo. Anachanganya mambo. Kuna Spika na Naibu Spika.
akienda india safari hii hawezi kurudi kama abiria, atarudishwa kama cargo pale airportNgoja kwanza atafute nyingine za kwenda kutibiwa india.....
Kuwa Spika siyo lazima uwe Mbunge ...!!Ndugey alishasema hagombei tena ubunge 2025 so hana mpango na uspika.
Kwa hiyo staili yake ya kuaga ndio hiyo ya kuporomoshea matusi wasomi?Ndugey alishasema hagombei tena ubunge 2025 so hana mpango na uspika.
Tuna Phd za uwongo!Kamwe usiamini neno au maneno toka kwa MATAGA yeyote.
Wamehitimu kozi za uongo kwa viwango vya juu sana.
Evidence talks!Nadhani amepatia. Ambaye ni lazima awe mbunge ni naibu spika
View attachment 1920594
Kasomea kuwawezesha wanyamapori kuzaliana!Kwani taaluma ya spika ni ipi labda tuanzie hapo
umetumwa leoKatika kuunda Timu yake ya kuhakikisha anazidi kubaki madarakani - Mh. Spika, Ndugu Job Ndugai amegundua tishio au threat (kwa kimombo) kubwa kwake ni Naibu wake.
Huyu bwana mambo mengi amekuwa akiyafanya kwa kutumia vitisho vitisho tu akiachana kabisa na ule utaratibu wa kidemokrasia wa Mtangulizi wake Marehemu, Msomi Wakili, Samweli Sitta.
Huyu anataka kuwaonesha watu kuwa wanasheria si lolote na si chochote. Kwa kuweka msisitizo huo ameanza kuwashambulia eti watu wanaotambulishwa kwa majina ya fani zao waache mara moja.
Hii ina maana hataki Naibu wake atangulize utambulisho wa fani au umahiri wake kwa sababu wakigombea pamoja USpika ni lazima hizo sifa za fani na umahiri zitampunguzia credit.
Waliokuwa karibu na Naibu Spika jana baada ya maneno ya Bosi wake wanadai alishangaa sana na lugha ya machoni alionekana kutoafiki aliyokuwa akiyaongea Bosi wake.
Siku hizi za karibuni Job Ndugai amekuwa akitumia sana ubabe kuongoza bungeni na kutamani kuongoza hata mihimili mingine ili aonekana ana nguvu kubwa ya kimaamuzi hapa nchini kwani baada ya kujihisi hataweza kugombea URais 2025 amepania agombee tena huo USpika.
Wabunge wengi wanamchora tu na kujifanya wanamuunga mkono lakini 2025 ni lazima aliwe kichwa na asipokuwa makini akajaribu kugombea basi changamoto ya kisaikolojia itamkumba na kumsababishia shinikizo la damu na kitachofuata mimi sijui.
Ninamshauri amwandae Naibu wake kushika 2025, hiyo ndiyo salama yake.
Hapana. Sinunuliki!umetumwa leo
Nawe una matatizo! Bungeni wote ni wabunge. Mambo ya Dr, Profesa, wakili, mkulima, mhasibu, injinia, nk. yana thamani gani Bungeni? Hii ndo inawapa kazi ngumu kutuonesha hayo majina.Katika kuunda Timu yake ya kuhakikisha anazidi kubaki madarakani - Mh. Spika, Ndugu Job Ndugai amegundua tishio au threat (kwa kimombo) kubwa kwake ni Naibu wake.
Huyu bwana mambo mengi amekuwa akiyafanya kwa kutumia vitisho vitisho tu akiachana kabisa na ule utaratibu wa kidemokrasia wa Mtangulizi wake Marehemu, Msomi Wakili, Samweli Sitta.
Huyu anataka kuwaonesha watu kuwa wanasheria si lolote na si chochote. Kwa kuweka msisitizo huo ameanza kuwashambulia eti watu wanaotambulishwa kwa majina ya fani zao waache mara moja.
Hii ina maana hataki Naibu wake atangulize utambulisho wa fani au umahiri wake kwa sababu wakigombea pamoja USpika ni lazima hizo sifa za fani na umahiri zitampunguzia credit.
Waliokuwa karibu na Naibu Spika jana baada ya maneno ya Bosi wake wanadai alishangaa sana na lugha ya machoni alionekana kutoafiki aliyokuwa akiyaongea Bosi wake.
Siku hizi za karibuni Job Ndugai amekuwa akitumia sana ubabe kuongoza bungeni na kutamani kuongoza hata mihimili mingine ili aonekana ana nguvu kubwa ya kimaamuzi hapa nchini kwani baada ya kujihisi hataweza kugombea URais 2025 amepania agombee tena huo USpika.
Wabunge wengi wanamchora tu na kujifanya wanamuunga mkono lakini 2025 ni lazima aliwe kichwa na asipokuwa makini akajaribu kugombea basi changamoto ya kisaikolojia itamkumba na kumsababishia shinikizo la damu na kitachofuata mimi sijui.
Ninamshauri amwandae Naibu wake kushika 2025, hiyo ndiyo salama yake.
Wiv tu kwa sababu waandishi wa habari hamana sifa za title hizo! Ungekuwa lawyer ungejimbafai tu na wewe!Nawe una matatizo! Bungeni wote ni wabunge. Mambo ya Dr, Profesa, wakili, mkulima, mhasibu, injinia, nk. yana thamani gani Bungeni? Hii ndo inawapa kazi ngumu kutuonesha hayo majina.
UN hutasikia vyeo kama hivyo, isipokuwa kwa watu wawili tu! General wa jeshi na daktari wa binadamu. hii ilikubalika kwa sababu fulani ambazo nakupa homework kuzitafuta.