Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kumbe kwa Mujibu wa Sheria za Tanzania, kuonyesha bango si kosa na wala halijawahi kuwa kosa, Polisi wengi wanaowakamata walioshika mabango yenye ujumbe usio na matusi ama udhalilishaji wanafanya hivyo ili kuwafurahisha waliowatuma ili wapandishwe vyeo ama waongezwe Marupurupu tu.
Msikilize Peter Kibatala akifafanua huku polisi waliotumikishwa wakijiinamia kwa aibu.
Msikilize Peter Kibatala akifafanua huku polisi waliotumikishwa wakijiinamia kwa aibu.