Wakili Msomi Peter Kibatala amhakikishia kumpigania Mwanachadema aliyekamatwa Kisutu, aahidi kumtoa selo

Wakili Msomi Peter Kibatala amhakikishia kumpigania Mwanachadema aliyekamatwa Kisutu, aahidi kumtoa selo

Wapenda amani kote nchini na wazalendo wa nchi popote pale walipo kamwe tusikubali hawa wahuni wachache wanao jifanya wanadai haki kwa kuvunja sheria watuharibie Amani ya nchi yetu.
tuchukue hatua za kuwafichua na kuwa ripoti popote pale walipo.
sio wafuasi wote wa chadema wanafurahia uhuni huu bali wapo wahuni wachache wenye chembe chembe za Ugaidi/uhalifu/ujanbazi/wizi ndio wanafanya vitendo hivi vya kihuni ili wapate sababu.
Sheria ipi inakataza kudai Katiba mpya? Sheria ipi inakataza kubeba bango? Na nani ameibiwa katika madai yao ya Katiba ukiondoa wao kuibiwa uhuru wao?

Amandla....
 
Sheria ipi inakataza kudai Katiba mpya? Sheria ipi inakataza kubeba bango? Na nani ameibiwa katika madai yao ya Katiba ukiondoa wao kuibiwa uhuru wao?

Amandla....
nenda katafute maisha yako acha kuchezea maisha yako kwa kuandamana na kushikilia mabango, huwezi kukuta familia ya Mbowe wala ya Mnyika, wala ya John Mrema wakiandamana, nenda katafuta riziki yako achana na huu utopolo
 
Brazil linapofika swala la kitaifa ni marufuku kwenye maandamano kupeperusha bendera ya chama. Mnaweka vyama pembeni na kubeba bendera ya Taifa. Siasa hizi za kistaarabu bado hazijaanza kufanya kazi Tanzania.
Iko siku tutafika
Nalog off
usilinganishe latin amerika na hapa ulimpeleka masaburi kama siro wanamla kichwa saa nusu
 
jiongeze, wewe unaejifanya unatafuta haki uliwahi kuona watoto wa Mbowe anakamatwa au mke wake uliwahi kumuona amekamatwa?! au amelala mahabusu?!
uliwahi kumuona mtoto wa Mbowe kashika bango? au uliwahi kumuona mke wa Myika, Mrema au Kibatala kashika bango anaandamana?!
jiongeze, tafuta maisha yako.
 
nenda katafute maisha yako acha kuchezea maisha yako kwa kuandamana na kushikilia mabango, huwezi kukuta familia ya Mbowe wala ya Mnyika, wala ya John Mrema wakiandamana, nenda katafuta riziki yako achana na huu utopolo
Maisha yapi tena? Ya watoto wangu kukaa chini baada ya miaka sitini ya uhuru? Kujisaidia kwenye matundu? Kubeba ndoo za kukalia wakienda shule? Nataka wawe kama wa Mbowe na wa Mnyika ndio maana naandamana. Hao unaowataja wameshitakiwa, wamekaa ndani ( kwa lugha yenu wamenyea debe) kwa ajili ya haki yangu ya kudai watoto wangu wawe na maisha bora. Sihitaji kuona familia yao ikiandamana kama vile sikudai kumwona Maria akiandamana na Nyerere wakati wanadai uhuru wetu.

Amandla...
 
ka
nenda katafute maisha yako acha kuchezea maisha yako kwa kuandamana na kushikilia mabango, huwezi kukuta familia ya Mbowe wala ya Mnyika, wala ya John Mrema wakiandamana, nenda katafuta riziki yako achana na huu utopolo
uli za kipuuzi hizi za kuingilia uhuru wa watu wengine.
 
Polisi hasa hawa wanaoenda field wengi ni empty set aka zero brain ,wanaendeshwa kwa mizuka ya kutojielewa,hawajui sheria kabisa ,sasa mtu kwenda mahakamani kufatilia mwendo wa kesi ni kosa? Hawajui kesi ya mbowe ina public interest?
Kwa matusi haya kwa polisi ndio maana siku hizi hawatumii tena risasi za plastic wala mabomunya machozi. Ni LIVE HOT BULLETS Motooo, chaggadomo wanatapika mbege🤣
 
Kumbe kwa Mujibu wa Sheria za Tanzania, kuonyesha bango si kosa na wala halijawahi kuwa kosa, Polisi wengi wanaowakamata walioshika mabango yenye ujumbe usio na matusi ama udhalilishaji wanafanya hivyo ili kuwafurahisha waliowatuma ili wapandishwe vyeo ama waongezwe Marupurupu tu.

Msikilize Peter Kibatala akifafanua huku polisi waliotumikishwa wakijiinamia kwa aibu.

View attachment 1881136
Kibatala si shahidi wala Jaji, hana madaraka ya kutoa huo uhakikishio anaodaiwa kuutoa. Mtuhumiwa kama mtuhumiwa mwingine anahitaji huruma na mapenzi, ni muhimu kumliwaza. Lakini sheria ni sheria, ndiyo maana hujamsikia Kibatala akimwambua njoo twenzetu.
 
shida mnajifichaga nyiuma ya keyboard wakati wehu wakijipeleka mbele sasa wanamuambia watamtoa polisi au mahakamani wao haoooooo wanaondoka kwenda kula maisha huyo hadi atakapotoka jasho za mbupu zimeshamtoka sana faida ni ya nani na anaweka familia kwenye mawazo kwa faida ya nani hasa?
Acha upuuzi wewe, mwanaume gani unaogopa hata kwenda kituo cha polisi?
 
Kibatala si shahidi wala Jaji, hana madaraka ya kutoa huo uhakikishio anaodaiwa kuutoa. Mtuhumiwa kama mtuhumiwa mwingine anahitaji huruma na mapenzi, ni muhimu kumliwaza. Lakini sheria ni sheria, ndiyo maana hujamsikia Kibatala akimwambua njoo twenzetu.
Hueleweki na wala hujaelewa
 
shida mnajifichaga nyiuma ya keyboard wakati wehu wakijipeleka mbele sasa wanamuambia watamtoa polisi au mahakamani wao haoooooo wanaondoka kwenda kula maisha huyo hadi atakapotoka jasho za mbupu zimeshamtoka sana faida ni ya nani na anaweka familia kwenye mawazo kwa faida ya nani hasa?
Binadamu awaye yote kushangalia upuuzaji wa sheria za nchi ni dhahiri kuwa ana mapungufu makubwa ya kiakili au kimaumbile.
 
Mngeenda wote kushika mabango,mmemsusia mwenzenu alafu nyinyi mmenyuti mitandaoni mnajifanya mnahasira,mnataka kuitoa CCM madarakani kwa ku-type tweeter na jf.
 
Back
Top Bottom