Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Brazil linapofika swala la kitaifa ni marufuku kwenye maandamano kupeperusha bendera ya chama. Mnaweka vyama pembeni na kubeba bendera ya Taifa. Siasa hizi za kistaarabu bado hazijaanza kufanya kazi Tanzania.Ni kweli mabango hayakuwa na matusi lakini je mliandika kitu gani.? Chadema jikiteni katika kutoa elimu kwa wananchi kuhusu faida ya katiba mpya.
Mimi nitakuwa tayari kuandamana ikiwa nitaona hiki kichwa cha habari 'wananchi wa Tz wameandamana kudai katiba mpya' ila nikiendelea kuona kichwa cha habari kinasema 'wana chadema waandamana kudai katiba mpya' basi kamwe sitokuwa pamoja nanyi, bila kusahau nataka niwaone hao viongozi wanaohitaji wakiwa mstari wa mbele katika maandamano.
Hujui kitu , nyamazashida mnajifichaga nyiuma ya keyboard wakati wehu wakijipeleka mbele sasa wanamuambia watamtoa polisi au mahakamani wao haoooooo wanaondoka kwenda kula maisha huyo hadi atakapotoka jasho za mbupu zimeshamtoka sana faida ni ya nani na anaweka familia kwenye mawazo kwa faida ya nani hasa?
CCM imekosa watu wenye upendo wa dhati namna hii. Laiti CCM ingekuwa na watu wenye upendo kidogo tu, nchi ingekuwa mbali Sana hii.Kumbe kwa Mujibu wa Sheria za Tanzania , kuonyesha bango si kosa na wala halijawahi kuwa kosa , Polisi wengi wanaowakamata walioshika mabango yenye ujumbe usio na matusi ama udhalilishaji wanafanya hivyo ili kuwafurahisha waliowatuma ili wapandishwe vyeo ama waongezwe Marupurupu tu.
Msikilize Peter Kibatala akifafanua huku polisi waliotumikishwa wakijiinamia kwa aibu
View attachment 1881136
Hujui kitu , nyamaza
Kuna wakili msomi halafu msomi aliyeelimika,kibatala shule imemkaa.Kuna wakili na wakili msomi
Kibatala ni wakili msomi
wengine ni makapuku wa kutupwa ! wananuka njaa kila konaWengi wanaotetea maovu humu mitandaoni ni wanufaika na mfumo wa sasa ,utakuta ni wanalumumba au mitoto ya mabwanyeye serikalini.
Policeccm ni kikundi cha unyago cha chama tawala ambacho,mwenyekiti wao hana uwezo hata wa kua katibu kata,hiyo nafasi ni bahati mbaya imemeangukiaKumbe kwa Mujibu wa Sheria za Tanzania , kuonyesha bango si kosa na wala halijawahi kuwa kosa , Polisi wengi wanaowakamata walioshika mabango yenye ujumbe usio na matusi ama udhalilishaji wanafanya hivyo ili kuwafurahisha waliowatuma ili wapandishwe vyeo ama waongezwe Marupurupu tu.
Msikilize Peter Kibatala akifafanua huku polisi waliotumikishwa wakijiinamia kwa aibu
View attachment 1881136
Kibatala ni sawa na wanaccm wote nchi nzima,yani wote kawazidi akili,elimu,maarifaKuna wakili na wakili msomi
Kibatala ni wakili msomi
Out of topic issue ni freembowe katiba kaandamane wewe na mama yakoNi kweli mabango hayakuwa na matusi lakini je mliandika kitu gani.? Chadema jikiteni katika kutoa elimu kwa wananchi kuhusu faida ya katiba mpya.
Mimi nitakuwa tayari kuandamana ikiwa nitaona hiki kichwa cha habari kinasema 'WANANCHI WA TZ WAMEANDAMANA KUDAI KATIBA MPYA' ila nikiendelea kuona kichwa cha habari kinasema 'WANA CHADEMA WAANDAMANA KUDAI KATIBA MPYA' basi kamwe sitokuwa pamoja nanyi, bila kusahau nataka niwaone hao viongozi wanaohitaji katiba mpya wakiwa mstari wa mbele katika maandamano.
NyumaPicha iliyozungushiwa kiduara ni mbele au nyuma kwa huyu Askari
Green guard haoPoliceccm ni kikundi cha unyago cha chama tawala ambacho,mwenyekiti wao hana uwezo hata wa kua katibu kata,hiyo nafasi ni bahati mbaya imemeangukia
Ujinga wako ni mzigo wa taifashida mnajifichaga nyiuma ya keyboard wakati wehu wakijipeleka mbele sasa wanamuambia watamtoa polisi au mahakamani wao haoooooo wanaondoka kwenda kula maisha huyo hadi atakapotoka jasho za mbupu zimeshamtoka sana faida ni ya nani na anaweka familia kwenye mawazo kwa faida ya nani hasa?