Wakili Msomi Peter Kibatala amhakikishia kumpigania Mwanachadema aliyekamatwa Kisutu, aahidi kumtoa selo

Out of topic issue ni freembowe katiba kaandamane wewe na mama yako
Huna hoja mpaka unaleta kisirani chako kwangu, kukusaidia tuu ni kwamba wanasema watu waandamane ni viongozi wako wa chadema πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Bila shaka ulimaanisha viongozi wako wa chadema wakaandamane na mama zao.
 
Brazil linapofika swala la kitaifa ni marufuku kwenye maandamano kupeperusha bendera ya chama. Mnaweka vyama pembeni na kubeba bendera ya Taifa. Siasa hizi za kistaarabu bado hazijaanza kufanya kazi Tanzania.
Iko siku tutafika
Nalog off
Ni kweli mkuu, inafika wakati unajiuliza hii katiba mpya ni ya chadema au nchi.!
 
Kibatala, kama uko humu, ubarikiwe sana na Mungu akujalie, akuzidishie wema na alinyanyue jina lako juu zaidi. Mtu safi, mchukia mikwaruzo na mpenda haki... ya nini kukamata watu kisha bango? Naombeni hata nyie polisi walinda haki, uhuru na mali za watu, badilikeni basi, dunia inasonga kwa kasi sana, ya nini kuwa katika mawazo mgando na kuwaonea watu? Mabango yamekuwapo enzi na enzi hata wakoloni hawakuwakamata wafuasi wa Kifimbo kwa kuonesha hisia zao kwa njia ya ,mabango.. acheni kuonea watu, ipo siku watu wataanza kujitoa muhanga, msije sema hamkuliona hilo... Chululu chululu sio ndondondo... haba na haba hujaza kibaba, shauri yenu... nyie endeleeni tu kuwaonea wenye nchi na wenye haki... haya ya uonevu, yana mwisho wake. Nyie endeleeni tu kuwa kama mamba anayekimbilia mtoni wakati mvua inanyesha...
 
We mama mbona hukwenda kuonyesha bango? Umebaki JF ukibonyeza keyboard tu?
 
jamaa mropokaji mahakamani utafikiri sio mwanasheria, na shreia hajui. ila chadema huwa wanamuona msomi balaa. the only msomi ninayemheshimu kwenye tasnia hiyo ni Tundu Lisu, ila huyo dogo chadema mmepotea sana, labda kama ni kisiasa. anawaaminisha watu watatoka, mbona huwa wanafungwa mikononi mwake?
 
Kwa nini watawala wa kiafrika wanapuuza sana sheria,kwani sheria zipo hapo ili iweje sasa ama zimetungwa kwaajili ya akina mbwa
 
Kwa nini watawala wa kiafrika wanapuuza sana sheria,kwani sheria zipo hapo ili iweje sasa ama zimetungwa kwaajili ya akina mbwa
Na ndio maana wanakufa midomo wazi
 
Lesson No.2.
Kwa siku hii hii ya leo. pekee!

Mwishowe elimu itaenea kila sehemu.
 
Wapenda amani kote nchini na wazalendo wa nchi popote pale walipo kamwe tusikubali hawa wahuni wachache wanao jifanya wanadai haki kwa kuvunja sheria watuharibie Amani ya nchi yetu.
tuchukue hatua za kuwafichua na kuwa ripoti popote pale walipo.
sio wafuasi wote wa chadema wanafurahia uhuni huu bali wapo wahuni wachache wenye chembe chembe za Ugaidi/uhalifu/ujanbazi/wizi ndio wanafanya vitendo hivi vya kihuni ili wapate sababu.
 
Familia ya Mbowe, Mnyika, Mrema, Kibatala wote wanao uhakika wa kula vizuri na kusoma lkn wewe ambaye maisha yako ni ya kubangaiza unaishia gerezani unaacha familia yako inateseka. jiongeze, achana na upuuzi tafuta maisha yako uwe na uhakika.
 
Utajuaje waandishi wa habari wataandika nini kuhusu maandamano yanayoendelea? Bora usiandamane. You won't be missed.

Amandla...
 
Brazil linapofika swala la kitaifa ni marufuku kwenye maandamano kupeperusha bendera ya chama. Mnaweka vyama pembeni na kubeba bendera ya Taifa. Siasa hizi za kistaarabu bado hazijaanza kufanya kazi Tanzania.
Iko siku tutafika
Nalog off
Brazil ya wapi hiyo? Buguruni?

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…