Wakili Mwabukusi ajitosa sakata la Yanga na bodi ya ligi

Bodi ya ligi ndio watajua wao point watazitoa wapi, Yanga hai mshitaki Simba ila inakwenda kulalamikia kanuni kutofuatwa na Bodi ya ligi.
 
Bodi ya ligi ndio watajua wao point watazitoa wapi, Yanga hai mshitaki Simba ila inakwenda kulalamikia kanuni kutofuatwa na Bodi ya ligi.
Hapo sawa. Simba ipo pale inaangalia ugomvi wa jirani😆😀
 
Wakili wa Yanga ni yule yule wa kesi zilizopita au mwengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…