Wakili Mwabukusi: Bunge halitakiwi kukwepa hoja ya utekaji

Wananchi wakiwa wanatekwa na wanapotea na wengine kuuwawa hakuna Mzalendo atakayesubiri "kuombwa" Mwabukusi ni Mzalendo.
Mmewaponza wenzenu kama Sa8 na Deus Soka,familia zao zinateseka nyie mnajidai kubweka kinafiki na hakuna radical decision mnayochukua
Poor you.stupid
 
Huyu spika mwananchi wa Jimbo lake kapotea lakini yeye yupo kimya Wala hashituki.
Huu ni mtaji tosha kwa atakayegombea naye.
 
Mmewaponza wenzenu kama Sa8 na Deus Soka,familia zao zinateseka nyie mnajidai kubweka kinafiki na hakuna radical decision mnayochukua
Poor you.stupid
Kwani hiyo CCM unayojiita leo wangapi walipoteza uhai kwa ajili yake? Unafikiri bila hao wewe leo ungekuwa unakula hizo 10% za Zabuni za Serikali?
 
Wanambeya wajitathimini kama Tulia bado anatosha kwao.
 
Kwa hizi chaguzi kiinimacho, watapatikana wawakilishi fake wa wananchi kwa sana.
 
Wakati wa JPM maiti zaidi ya mia moja ziliokotwa pale Coco Beach na hatukuona mjadala wowote ukifanyika humo bungeni.

Huyo Mwabukusi anayo haki ya kuongea hivyo ni kiongozi wa taasisi ya kisheria iliyomuweka madarakani kwa kura zaidi ya 1500.
Huu ndio ujinga wenu wapumbavu nyinyi.
Kwa hiyo kwa vile wakati wa Magufuli ziliokotwa maiti, unataka sasa watu wakubali ujinga mnao wafanyia waTanzania wakati wa 'Chura Kiziwi" wenu?
Hebu eleza. Magufuli naye aliwahi kuhadaa watu kwamba anazo 4R, ambazo hata huyo mama hajui maana yake ni nini?

Unapo tafuta kutetea uovu, hata kama ni mdogo sana kwa kuleta mifano ya uovu mwingine kama kisingizio, inakuonyesha kuwa na upungufu mkubwa kichwani mwako.

Ndiyo, nimetumia lugha kali, kwa sababu mnafanya mzaha na maisha ya waTanzania.
 
Huyo ni mwanasiasa kwa kuifuatilia historia yake. Aligombea ubunge jimbo mojawapo kule Mbeya mwaka 2020 akashindwa na hata misimamo yake ni ushahidi kwamba ni mwanachama wa CHADEMA.
Imekuwa kosa toka lini kuwa mwanasiasa au mwanachama wa CHADEMA? Hao mawakili walio shindana naye na kubwagwa hawakuwa wanachama wa CCM?

Kuwa CHADEMA kunaondoa hadhi ya kuwa mTanzania, au kupigania maslahi ya wananchi hii?
Mbona nyinyi watu mmekuwa wapuuzi kiasi hiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…