CCM MKAMBARANI
JF-Expert Member
- Mar 15, 2017
- 2,031
- 1,514
Wananchi walimuomba?Mwabukusi ni MTETEZI wa WANANCHI ✊️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wananchi walimuomba?Mwabukusi ni MTETEZI wa WANANCHI ✊️
Wananchi wakiwa wanatekwa na wanapotea na wengine kuuwawa hakuna Mzalendo atakayesubiri "kuombwa" Mwabukusi ni Mzalendo.Wananchi walimuomba?
Huyu Mwabukusi ni mtetezi wa chadema
Hakuna wa kumtisha mwenzake, ila huo ndio ukweli wenyewe.Kwahiyo unamtisha Mwabukusi?! Wewe endelea kupiga Deki hapo Lumumba.
Acha upotoshaji.ukweli wenyewe.
Mmewaponza wenzenu kama Sa8 na Deus Soka,familia zao zinateseka nyie mnajidai kubweka kinafiki na hakuna radical decision mnayochukuaWananchi wakiwa wanatekwa na wanapotea na wengine kuuwawa hakuna Mzalendo atakayesubiri "kuombwa" Mwabukusi ni Mzalendo.
Chadema inaaminisha hivyoKwani waptekwa namkupotea ni CDM tuuu[emoji15][emoji15][emoji15]
Yana mwisho.Mmewaponza wenzenu kama Sa8 na Deus Soka,familia zao zinateseka nyie mnajidai kubweka kinafiki na hakuna radical decision mnayochukua
Poor you.stupid
Kwani hiyo CCM unayojiita leo wangapi walipoteza uhai kwa ajili yake? Unafikiri bila hao wewe leo ungekuwa unakula hizo 10% za Zabuni za Serikali?Mmewaponza wenzenu kama Sa8 na Deus Soka,familia zao zinateseka nyie mnajidai kubweka kinafiki na hakuna radical decision mnayochukua
Poor you.stupid
Msidanganye watuYana mwisho.
WanaKANU pia alikuwa na Viburi kuliko ninyi leo wako wapi?!Msidanganye watu
Wanambeya wajitathimini kama Tulia bado anatosha kwao.Ndugu yangu, mwaka 2020 kuna Mbunge aliye chaguliwa!? Au walitangazaa tu kwakua waligombea kupitia chama cha Jiwe!?
Lakini pia kuna clip inapita anasikika Spika wa Bunge akihamasisha wanaccm wenzie kwamba yeyote atakaye pingana na Rais walale naye mbele, maana ya kulala naye mbele ni pana sana hata kutekwa ni sehemu ya kulala na MTU mbele. Kuna kiongozi wa UVCCM naye anasikika kwamba yeyote atakaye patokana anakosoa kosaoa viongozi watampoteza na Polisi wasiingilie kati, watu wanashangilia. Katika mazingira ambayo Spika mwenyewe anahamasisha wanachama wake kulala mbele na yeyote atakaye mpinga Rais unatarajia nini!?
CHADEMA watampaHuyu Mwabukusi atafutiwe Jimbo agombee Ubunge.
Nchi inahitani wawakilishi weledi kama yeye.
Nyie hatuwez kuwaachia muongoze.hata kwa bunduki tutawauwaWanaKANU pia alikuwa na Viburi kuliko ninyi leo wako wapi?!
Kwanini sasa mlikubali mfumo wa Vyama vingi?!Nyie hatuwez kuwaachia muongoze.hata kwa bunduki tutawauwa
Kwa hizi chaguzi kiinimacho, watapatikana wawakilishi fake wa wananchi kwa sana.Ifikie hatua kama wananchi tunapochagua watu wa kutuwakilisha bungeni tuchague watu wenye akili timamu na watu wanaowajibika kwa wananchi. Hili ndilosolution ya matatizo kama haya.
Tuna ombwe kubwa sana la uongozi. Imefikia hatua kuna baadhi ya watu hawakustahili hata kuongoza mifugo leo hii wana nyadhifa kubwa na nyeti kwenye Taifa. Matokeo yake Tunaongozwa kichawi kichawi.
hakuna kitu kibaya kwenye maisha kama kuchezea UHAI wa binadamu mwenzio aidha kwa tofauti ya kidini, kisiasa, au kwanamna yoyote ile..
Leo hii mahakama, Bunge, polisi, wameziba masikio hawataki kujua nini kinatokea! Swali Nani mhusika yupo nyuma ya haya?
Huu ndio ujinga wenu wapumbavu nyinyi.Wakati wa JPM maiti zaidi ya mia moja ziliokotwa pale Coco Beach na hatukuona mjadala wowote ukifanyika humo bungeni.
Huyo Mwabukusi anayo haki ya kuongea hivyo ni kiongozi wa taasisi ya kisheria iliyomuweka madarakani kwa kura zaidi ya 1500.
Imekuwa kosa toka lini kuwa mwanasiasa au mwanachama wa CHADEMA? Hao mawakili walio shindana naye na kubwagwa hawakuwa wanachama wa CCM?Huyo ni mwanasiasa kwa kuifuatilia historia yake. Aligombea ubunge jimbo mojawapo kule Mbeya mwaka 2020 akashindwa na hata misimamo yake ni ushahidi kwamba ni mwanachama wa CHADEMA.