Wakili Mwabukusi: Bunge halitakiwi kukwepa hoja ya utekaji

Wakili Mwabukusi: Bunge halitakiwi kukwepa hoja ya utekaji

Wananchi wakiwa wanatekwa na wanapotea na wengine kuuwawa hakuna Mzalendo atakayesubiri "kuombwa" Mwabukusi ni Mzalendo.
Mmewaponza wenzenu kama Sa8 na Deus Soka,familia zao zinateseka nyie mnajidai kubweka kinafiki na hakuna radical decision mnayochukua
Poor you.stupid
 
Huyu spika mwananchi wa Jimbo lake kapotea lakini yeye yupo kimya Wala hashituki.
Huu ni mtaji tosha kwa atakayegombea naye.
 
Mmewaponza wenzenu kama Sa8 na Deus Soka,familia zao zinateseka nyie mnajidai kubweka kinafiki na hakuna radical decision mnayochukua
Poor you.stupid
Kwani hiyo CCM unayojiita leo wangapi walipoteza uhai kwa ajili yake? Unafikiri bila hao wewe leo ungekuwa unakula hizo 10% za Zabuni za Serikali?
 
Ndugu yangu, mwaka 2020 kuna Mbunge aliye chaguliwa!? Au walitangazaa tu kwakua waligombea kupitia chama cha Jiwe!?

Lakini pia kuna clip inapita anasikika Spika wa Bunge akihamasisha wanaccm wenzie kwamba yeyote atakaye pingana na Rais walale naye mbele, maana ya kulala naye mbele ni pana sana hata kutekwa ni sehemu ya kulala na MTU mbele. Kuna kiongozi wa UVCCM naye anasikika kwamba yeyote atakaye patokana anakosoa kosaoa viongozi watampoteza na Polisi wasiingilie kati, watu wanashangilia. Katika mazingira ambayo Spika mwenyewe anahamasisha wanachama wake kulala mbele na yeyote atakaye mpinga Rais unatarajia nini!?
Wanambeya wajitathimini kama Tulia bado anatosha kwao.
 
Ifikie hatua kama wananchi tunapochagua watu wa kutuwakilisha bungeni tuchague watu wenye akili timamu na watu wanaowajibika kwa wananchi. Hili ndilosolution ya matatizo kama haya.

Tuna ombwe kubwa sana la uongozi. Imefikia hatua kuna baadhi ya watu hawakustahili hata kuongoza mifugo leo hii wana nyadhifa kubwa na nyeti kwenye Taifa. Matokeo yake Tunaongozwa kichawi kichawi.

hakuna kitu kibaya kwenye maisha kama kuchezea UHAI wa binadamu mwenzio aidha kwa tofauti ya kidini, kisiasa, au kwanamna yoyote ile..

Leo hii mahakama, Bunge, polisi, wameziba masikio hawataki kujua nini kinatokea! Swali Nani mhusika yupo nyuma ya haya?
Kwa hizi chaguzi kiinimacho, watapatikana wawakilishi fake wa wananchi kwa sana.
 
Wakati wa JPM maiti zaidi ya mia moja ziliokotwa pale Coco Beach na hatukuona mjadala wowote ukifanyika humo bungeni.

Huyo Mwabukusi anayo haki ya kuongea hivyo ni kiongozi wa taasisi ya kisheria iliyomuweka madarakani kwa kura zaidi ya 1500.
Huu ndio ujinga wenu wapumbavu nyinyi.
Kwa hiyo kwa vile wakati wa Magufuli ziliokotwa maiti, unataka sasa watu wakubali ujinga mnao wafanyia waTanzania wakati wa 'Chura Kiziwi" wenu?
Hebu eleza. Magufuli naye aliwahi kuhadaa watu kwamba anazo 4R, ambazo hata huyo mama hajui maana yake ni nini?

Unapo tafuta kutetea uovu, hata kama ni mdogo sana kwa kuleta mifano ya uovu mwingine kama kisingizio, inakuonyesha kuwa na upungufu mkubwa kichwani mwako.

Ndiyo, nimetumia lugha kali, kwa sababu mnafanya mzaha na maisha ya waTanzania.
 
Huyo ni mwanasiasa kwa kuifuatilia historia yake. Aligombea ubunge jimbo mojawapo kule Mbeya mwaka 2020 akashindwa na hata misimamo yake ni ushahidi kwamba ni mwanachama wa CHADEMA.
Imekuwa kosa toka lini kuwa mwanasiasa au mwanachama wa CHADEMA? Hao mawakili walio shindana naye na kubwagwa hawakuwa wanachama wa CCM?

Kuwa CHADEMA kunaondoa hadhi ya kuwa mTanzania, au kupigania maslahi ya wananchi hii?
Mbona nyinyi watu mmekuwa wapuuzi kiasi hiki?
 
Back
Top Bottom