Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Mlima wa Mizeituni gethsemane
Tunakamatwa bila hatiaNawatakia Sabato njema
Nani?Wajinga
Haisikitishi, hii inasisimua, wanadhani Adv. Mwabukusi ndie pekee kupinga utoaji bure bandari zetu milele kwa mwarabu, wanajidanganya. Usiogope.Je amekamatwa kwa kosa gani?
Mbona inasikitisha jamani [emoji2297]
Pilato akamuuliza Yesu " Usingetenda kosa lolote wangekuleta kwangu?"Tunakamatwa bila hatia
SijaelewaPilato akamuuliza Yesu " Usingetenda kosa lolote wangekuleta kwangu?"
Hasa kuwapigania watanzania!!,sheria zinalinda watawala na wengine wamejiwekea kinga ya kutokushitakiwa, kwa hiyo ukilianzisha ujitoe kafara hasa!
Real battles zipo mitaani SIO HUMUNATAMANI LEO TUJAZE NYUZI JF ZIKIENDA
#JUSTICE FOR MWABUKUSI
#MWABUKUSI SIO MHAINI.
#FREE MWABUKUSI.
# MWABUKUSI FOR TANGANYIKA.
# MWABUKUSI KWANZA DP WORLD ISUBIRI.
Anayekukamata Ndiye anayejua kosa lakoSijaelewa