Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
- Thread starter
- #21
Mwambukusi anakosa gani?Anayekukamata Ndiye anayejua kosa lako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambukusi anakosa gani?Anayekukamata Ndiye anayejua kosa lako
Nenda kaulize polisi.Mwambukusi anakosa gani?
Asanteeeeee sana Mwana CCM kindakindakiWote tunapinga kuuzwa kwa bandari za Tanganyika
Mumsaidie atoke sio mnaishia kusikitika tu.Je amekamatwa kwa kosa gani?
Mbona inasikitisha jamani [emoji2297]
Thibitisha kama alipanga kupindua nchi. Unasumbuliwa na udini tu.Kama ni kweli, wamechelewa sana kumkamata.
Tena huyo ni kesi ya uhaini moja kwa moja.
Mzee Mwinyi aliwaachilia akina Hanspope 😄😄 waliotaka kumpindua Mtakatifu Julius!Kama ni kweli, wamechelewa sana kumkamata.
Tena huyo ni kesi ya uhaini moja kwa moja.
Kazi ya kuthibitisha ni ya Jamhuri kupitia DPP, Wewe kama unaona hahusiki kajiorodheshe kwny upande wa Mashahidi wa Mtuhumiwa.Thibitisha kama alipanga kupindua nchi. Unasumbuliwa na udini tu.
Aliyemkamata nani?Thibitisha kama alipanga kupindua nchi. Unasumbuliwa na udini tu.
Watasema waliomkamata!Mwambukusi anakosa gani?
Wameshaanza kusikilizwa mahakamani? Acha kudandia mambo usiyojua.Kazi ya kuthibitisha ni ya Jamhuri kupitia DPP, Wewe kama unaona hahusiki kajiorodheshe kwny upande wa Mashahidi wa Mtuhumiwa.
Mtu anatakiwa kukamatwa baada ya upelelezi kukamilikaWatasema waliomkamata!
Pale Mikumi labda kagonga Swala, au katembea speed 100km/h ndio nasema tusubiri!Mtu anatakiwa kukamatwa baada ya upelelezi kukamilika
Mbona unawajibia polisi wakati hujui lolote.Aliyemkamata nani?
Alitakiwa kukamatwa na jeshi la uhifafhi.Pale Mikumi labda kagonga Swala, au katembea speed 100km/h ndio nasema tusubiri!
Tupatie huo mstari tufanye rejea, isije kuwa ni maneno yako na sio ya pilatoPilato akamuuliza Yesu " Usingetenda kosa lolote wangekuleta kwangu?"