Kwani Lisu ndio Mungu useme yeye ndio anaamua watu wafanye kipi?Hawa keyboard warriors wana akili finyu sana. Wanadhani kosa la uhaini ni sawa na kuiba kuku. Lissu mwenyewe kiongozi wao wanaemsikiliza sana hajawahi kutamka uhaini kwa sababu anajua madhara yake.
Katili huwa hana kibali Kwa Mungu hata kama awe na Sijda kama lami usoni.Wewe chongatu umewakimbia wenzako mbwembwe nyingi
Urithi wako na nani? Huko kwenu kuna bandari?Bandari zetu ni URITHI wetu,
Vitisho havitaturudisha nyuma.
Tusubiri.
Ukicheka na mbwa utaingia nae msikitini nashukuru rais samia ameamua kufuata ushauri wangu.Mlikuwa mnasema awamu ya sita ni ya kitakatifu haitaki damu ya mtu mje mtuambie hawa wanakamatwa kwa kosa gani
mhh sio Kwa makasiriko haya ndugu..nenda hospital una tatizo la akili ww.poleNi brighter Day bosi. Waache wakapumzishwe. Haiwezekani wanapokea rushwa kuchafua taswira ya rais Dkt Samia na taifa. Ndiyo maana Dkt Magufuli alikuwa hacheki na pimbi, naona Mama Dkt Samia naye sasa ameelewa namna ya kuendesha mfumo. Wawakomeshe kabisa huko waliko, binya sana kende zao ili waseme nani kawapa hela za rushwa
Si ndio mnasikiliza sana nyie kwa lolote analosema?Kwani Lisu ndio Mungu useme yeye ndio anaamua watu wafanye kipi?
Kwetu makunduchi zanziberi!!Urithi wako na nani? Huko kwenu kuna bandari?
Umeamua kujitoa fahamu na kuwa muimba taarabu..!! Jaribu kuficha upumbavu wako basi!!!Wakae kimya kabisa hawa kima. Yaani hao hao Dkt Magufuli alizuia mkataba wa bandari ya Bagamoyo na utoroshaji wa madini na mikataba ya kinyonyaji walimtukana kwa matusi kede kede na kumdhalilisha mpaka kifo chake walishangilia na walitumiwa hata kujaribu kumuua na hatimaye Dkt Magufuli akafariki wakafanya sherehe. Yote hayo Dkt Magufuli alifanya kwa uzalendo wa kuipenda nchi yake. Leo kaja Dkt Samia, anafanya kwa uzalendo ila hao hao kima wameanza tena. Tujaua mwanzo aliwachekea ili kuchambua kima na ngedere yupi. Sasa ni mwendo wa vichapo tu.
Kwa Ivo eneo lingine la Tanganyika kusiko na Bandari, bandari za nchi hii siyo urithi wao?Urithi wako na nani? Huko kwenu kuna bandari?
Sasa wewe umetokea kyela huko una uchungu na kilimanjaro kuwazidi wachaga?Kwa Ivo eneo lingine la Tanganyika kusiko na Bandari, bandari za nchi hii siyo urithi wao?
Unataka kutuambia kwamba mlima Kilimanjaro ni urithi Kwa watu Wa Kilimanjaro pekee??
[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Mbona unawayawaya?Sasa wewe umetokea kyela huko una uchungu na kilimanjaro kuwazidi wachaga?
kirusi wewe,Kila unapoenda panaharibika..!!Mimi ni Muislam sahahau kabisa huo ujinga wa kuwacha dini.
Unataka niwe kama wewe usiye na dini?
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Jihadist utakula kitimoto huku unapigwa mashineNdipo muono wako ulipoishia. Sikushangai.
Polisi hawajui Tanganyika ni niniKwani kuna Punguani asiyejua Tanganyika ni nini?
That's why Mwabukusi fits to be the president of Tanzania. He has all it takes for that positionNdugu Watanzania,
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa wakili msomi Boniface Kanjunjule Mwabukusi amekamatwa na Jeshi la Polisi kule Mikumi, Morogoro akiwa pamoja na Katibu wa Kanda wa CHADEMA, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali.
Inadaiwa kuwa walikuwa safarini kuelekea Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, watu waliojitambulisha kuwa ni Askari ndio wamewakamata pasipo kutaja kosa lao na wapi wanapelekwa zaidi ya kuambiwa ni Maelekezo kutoka Juu. Pia, vifaa vyao vya mawasiliano (Simu za mkononi) vimechukuliwa.
Pia soma: RPC Morogoro: Sina taarifa ya kukamatwa kwa Wakili Mwabukusi, Mdude na Masonga
Kwa hiyo imefurahia issue ya Mashekh?Kilichowakuta mashekh ndicho kitawakuta na hao,wapumzishwe Hadi 2030 uzuri kule ndani Huduma ni Bure kabisa .