Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

Ni brighter Day bosi. Waache wakapumzishwe. Haiwezekani wanapokea rushwa kuchafua taswira ya rais Dkt Samia na taifa. Ndiyo maana Dkt Magufuli alikuwa hacheki na pimbi, naona Mama Dkt Samia naye sasa ameelewa namna ya kuendesha mfumo. Wawakomeshe kabisa huko waliko, binya sana kende zao ili waseme nani kawapa hela za rushwa
mhh sio Kwa makasiriko haya ndugu..nenda hospital una tatizo la akili ww.pole
 
ume
Wakae kimya kabisa hawa kima. Yaani hao hao Dkt Magufuli alizuia mkataba wa bandari ya Bagamoyo na utoroshaji wa madini na mikataba ya kinyonyaji walimtukana kwa matusi kede kede na kumdhalilisha mpaka kifo chake walishangilia na walitumiwa hata kujaribu kumuua na hatimaye Dkt Magufuli akafariki wakafanya sherehe. Yote hayo Dkt Magufuli alifanya kwa uzalendo wa kuipenda nchi yake. Leo kaja Dkt Samia, anafanya kwa uzalendo ila hao hao kima wameanza tena. Tujaua mwanzo aliwachekea ili kuchambua kima na ngedere yupi. Sasa ni mwendo wa vichapo tu.
Umeamua kujitoa fahamu na kuwa muimba taarabu..!! Jaribu kuficha upumbavu wako basi!!!
 
Kwa Ivo eneo lingine la Tanganyika kusiko na Bandari, bandari za nchi hii siyo urithi wao?

Unataka kutuambia kwamba mlima Kilimanjaro ni urithi Kwa watu Wa Kilimanjaro pekee??
[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Sasa wewe umetokea kyela huko una uchungu na kilimanjaro kuwazidi wachaga?
 
Ndugu Watanzania,

Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa wakili msomi Boniface Kanjunjule Mwabukusi amekamatwa na Jeshi la Polisi kule Mikumi, Morogoro akiwa pamoja na Katibu wa Kanda wa CHADEMA, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali.

Inadaiwa kuwa walikuwa safarini kuelekea Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, watu waliojitambulisha kuwa ni Askari ndio wamewakamata pasipo kutaja kosa lao na wapi wanapelekwa zaidi ya kuambiwa ni Maelekezo kutoka Juu. Pia, vifaa vyao vya mawasiliano (Simu za mkononi) vimechukuliwa.

Pia soma: RPC Morogoro: Sina taarifa ya kukamatwa kwa Wakili Mwabukusi, Mdude na Masonga
That's why Mwabukusi fits to be the president of Tanzania. He has all it takes for that position
 
Uzuri baada ya mtuhumiwa kukamatwa anasomewa kosa lake mahakani ili ajitetee hivyo kukamatwa ni sehemu ya kutaka kujua ukweli ya hayo aliyokuwa anayasema na kama ni kosa kisheria au la.
 
Back
Top Bottom