Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

Serikali isijiendeshe kigangstar.

Naona watu ndani ya serikalli wanamharibia rais wetu mpendwa kwa makusudi
 
Kosa lao ni kupinga utaratibu wa uwekezaji ndo uwaone kama hawana haki ya kuishi?
 
Hao labda wasiwekwe ndani zaidi ya wiki 2, bila hivyo lazima warudi majumbani mwao na uja uzito, sijui watawaambia nini familia zao.
 
Walipinga mikopo walitaka wasome Bure!?..hela itoke wapi!?..mbwa wale walizowea bure
 
Kwanini wanawashikilia bila taarifa kwa RPC wa mkoa wa Morogoro na kosa kuainishwa? Kwanini wanawakamata kabla ya uchunguzi? CCM na serikali yake mmekuwa wanyanyasaji sana wa wananchi kwa hofu ya kuanikwa mabaya yenu. Halafu bado unaishabikia hicho chama cha kijani kilichojaa wezi, waovu na wabinafsi. Kwanini wanawahofia sana watu wasiokuwa na silaha yoyote? Kwanini mmemzuia asiende kukataa rufaa ya hukumu elekezi ya huko Mbeya?

Bado dakika chache sana wananchi ambao mnawaona kwamba mkikamata mtu wanakaa kimya...!!!
"This time around it shall not prevail other than invoking a backlash with a negative impact on the sitting regime".
 
Ccm mnajiona malaika sana
 
Dduuhhh 🤨
 
Unakamatwa halafu unashikiliwa. Labda kama walijipeleka wenyewe bila kushurutishwa.

Amandla...
 
Hivi serikali ya Samia iko tayari kufanya uhalifu gani mwingine ili kuhakikisha kuwa inagawa bandari zetu kwa mwarabu?

Mwarabu kawapa sh ngapi, mbona wanatumia nguvu nyingi sana?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…