Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

EEEeeh, Bwanah 'Katali', eti unasemaje....?

Unajua kesho yako ipoje lakini?

Vuta subira kidogo, utalipata jibu sahihi bila ya shaka yoyote.
 
Una hasira sana na hako kadiploma ka Mchongo 😂😂😂🔥
Wanawake hawatakuja kuwa na nafasi ya juu tena kwa huu uhuni mnaowafanyia. Huyu mama mnamhujumu. Hizi vurugu zote ni kumharibia. Chama Changu ni hatari sana. Msikilizeni Kiongozi wenu na muache kuanzisha maskendo yanayohatarisha. Sauti ya Mungu ni ndogo sana huwa ni ngumu kuisikia na hasa wakati wa dhoruba. Tumuombe Mungu anyooshe mkono wake.
 
Mapema sana kuiamini kauli ya polisi, itafahamika ni jambo la kusubiri
 
Hiyo katiba umeiangalia vizuri na kujua kwamba Samia haivunji katiba hiyo hiyo?

Ni swala la muda tu sasa hivi kuipigania katiba hiyo hiyo inayovunjwa na walioapa kuilinda. Kama huo siyo uhaini ni kitu gani?
 
Mbona kule Zenj hawamkamati Jussa ambaye anasema huyu mtoto wa jana amekuwa fisadi.
 
Labda ndo aijipii aliowasema kutaka kuipindua serikali ya awamu ya sita, wacha tusubiri.
 
Mbowe si kaachiwa kwa huruma ya mama wa Kiislam.

Mahakama ilisema anayo kesi ya kujibu, umesahahu? Mama katumia "Presidential Power" kumtowa, leo kawa mbaya?
ccm jibu hoja za mkataba acha kutumia police kusumbua watu.
 
Wewe ni nani na chanzo chako ni kipi?

Kwanini tukuamini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…