Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

Hawa wana hamu na mnyapara.Hivi akili sasa imewatulia,wanapata wanachopenda
 
Ni mjinga pekee hajui ukubwa wa Jf
Ndio mnavyowadangaja wajinga wenzenu.
Eti mnawapigania huku jf kwa kuwa jf ni kubwa!
Huku msala mzima mnaziachia familia za wahanga nyie mpo nyuma ya keyboard
 
Polisi wana taarifa za kiintelijensia na bado mtatafutwa wote mpaka mpatikane si umemsikia kamanda wa polisi katika press. Hao wakina Mwambuzi na mdude wanatumwa tu serikali inataka wale waliojificha nyuma yao.
Hawa tutapeleka taarifa zao kimya kimya.Ili wananchi tuishi kwa amani.
 
Waache wakapate wanavyovitaka kwa mnyapara.Wakitoka akili zitwakaa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…