Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

Wanaotishia kupindua serikali hawapigi kelele.
Nimeona nikukumbushe hilo pamoja na kwamba akili yako ni ndogo kujua hivyo.

Najua lengo ni kutia watu hofu/uoga, lakini hili hufikia mahala likawa halina vitisho tena kwa watu waliodhamiria kufanya kweli.

Na watu wamekwishadhamiria hivyo, hata mfanye nini, hatma yenu shaamuriwa.
Hawa wana hamu na mnyapara.Hivi akili sasa imewatulia,wanapata wanachopenda
 
Ni mjinga pekee hajui ukubwa wa Jf
Ndio mnavyowadangaja wajinga wenzenu.
Eti mnawapigania huku jf kwa kuwa jf ni kubwa!
Huku msala mzima mnaziachia familia za wahanga nyie mpo nyuma ya keyboard
 
Polisi wana taarifa za kiintelijensia na bado mtatafutwa wote mpaka mpatikane si umemsikia kamanda wa polisi katika press. Hao wakina Mwambuzi na mdude wanatumwa tu serikali inataka wale waliojificha nyuma yao.
Hawa tutapeleka taarifa zao kimya kimya.Ili wananchi tuishi kwa amani.
 
Hakuna jipya hapo, Adv Mwabukusi hajakamatwa peke yake, hata Mdude Nyagali, na kamanda Nyaisunga, nao pia wamekamatwa, wote wako kutuo cha polisi, Mikumi, Morogoro.

Hapa tuwekane sawa tu, hayupo yeyote kati ya waliokamatwa ambaye hakujua matokeo ya kile wanachokipigania, wanachokifanya polisi sio kuwatisha, au kuwaogopesha, ni kuwafanya wawe imara zaidi kwenye mapambano.
Waache wakapate wanavyovitaka kwa mnyapara.Wakitoka akili zitwakaa sawa.
 
Back
Top Bottom