Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

Wewe Fala hujui lolote kuhusu kazi za Polisi. Nenda Mikumi wakakueleze makosa yao. Usitupotezee muda humu
Unaonekana kuna mahali unaumia, tulia hii sindano lazima ivunjikie kwenye mfupa wako.
 
Wapumzishwe Hadi 2027 maana Huduma watakuwa wanapata Bure
 
Uhaini unaujua wewe?

Hao masheikh wa Zanzibar walikuwa wakipigania bandari zao mpaka wakakamatwa?

Magufuli hakuwa na ujinga wa kutoa bure rasiliamali zetu watanganyika, usimlinganishe na huyo msaliti toka Makunduchi.

Hizi propaganda na vitisho vya kipuuzi wakati huu hazina nafasi.
 
Another dark day

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni brighter Day bosi. Waache wakapumzishwe. Haiwezekani wanapokea rushwa kuchafua taswira ya rais Dkt Samia na taifa. Ndiyo maana Dkt Magufuli alikuwa hacheki na pimbi, naona Mama Dkt Samia naye sasa ameelewa namna ya kuendesha mfumo. Wawakomeshe kabisa huko waliko, binya sana kende zao ili waseme nani kawapa hela za rushwa
 
Atajua mbele Kwa mbele,Tanzania sio Ulaya
 
Hii ishu inafanana na ya Trump? Puuzi
 
Kilichowakuta mashekh ndicho kitawakuta na hao,wapumzishwe Hadi 2030 uzuri kule ndani Huduma ni Bure kabisa .
 
Hebu twambie walivyo mchafua! Kwani ni nani amesaini mkataba wa kuuzwa kwa bandari milele?
 
Mbinu ya kuwazuia wasiwakilishe kwa wakati rufani yao mahakama ya rufaa
 
Kinachotakiwa heshima irudi mahala pake.

Mna akili za samaki" - kwa sauti ya Amani Karume.
 
Wenyewe walo wapi sasa wakawatoe Mwabukusi na Mdude hapo Mikumi? Au wenyewe wanalala na kushinda JF wakiandika maneno ya jazba?
Mbona nakuumiza bado mapema sana.. pole.
 
Hebu twambie walivyo mchafua! Kwani ni nani amesaini mkataba wa kuuzwa kwa bandari milele?
Wakae kimya kabisa hawa kima. Yaani hao hao Dkt Magufuli alizuia mkataba wa bandari ya Bagamoyo na utoroshaji wa madini na mikataba ya kinyonyaji walimtukana kwa matusi kede kede na kumdhalilisha mpaka kifo chake walishangilia na walitumiwa hata kujaribu kumuua na hatimaye Dkt Magufuli akafariki wakafanya sherehe. Yote hayo Dkt Magufuli alifanya kwa uzalendo wa kuipenda nchi yake. Leo kaja Dkt Samia, anafanya kwa uzalendo ila hao hao kima wameanza tena. Tujaua mwanzo aliwachekea ili kuchambua kima na ngedere yupi. Sasa ni mwendo wa vichapo tu.
 
Wao wamesema wameshinda, jamaa wakasema wanakuja kukata rufaa..sasa wanawakamata wa nini? Mbona jamaa wanatumia njia za kistaarabu kabisa japo povu linawatoka wao( kina Tulia na wenzake).

Saa nyingine serikali ndio chanzo cha vurugu..walisema wanaimarisha uhuru wa kutoa maoni lakini inaonekana ni kwa maoni yanayowapendeza wao tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…