Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

mnajisumbua tu hii nchi ina wenyewe mtatesa familia zenu na hakuna wakuwatetea baada ya kupata kipigo
 
Kabisa mkuu polisi wanafikir wanawakomoa kwa kuwakamata wapinzani ovyo ovyo bila kujua wanawapa ujasir wa kupambana, jeshi la ovyo kabisa Jana nimelisikia kuu lao eti watu wanataka kumpindua SSH kwa kufanya maandamano nchi nzima yaan jitu cheo kikubwa limeitisha press kabisa linaongea ujinga tu
 

Ok sawa kwa hiyo Polisi wanaenda kuwaongezea uimara basi kila rahli katika kuongezewa uimara
 

Yupo anaowatuma
 
Acha wanyee debe, yaani unahamasisha watu wasilipe Kodi, umeenda mahakamani kutafuta haki, umeshindwa, unaanzisha agenda za kuhujumu uchumi
 
Tujipange kuiondoa ccm kwa maandamano nchi mzima.
 
Haya sasa, haya yanafanywa na Pombe?
 
sheria zinalinda watawala na wengine wamejiwekea kinga ya kutokushitakiwa, kwa hiyo ukilianzisha ujitoe kafara hasa!
Mwabukusi kasema 'sisi watanganyika' Mara 'maandamano yasiyo kikomo na watu wasilipe kodi'..wanaenda kumuuliza Tanganyika ni kitu gani,awaoneshe
 
Hao watarudi wamechoka hakuna uimara wowote, mtafute pakufanyia huo upumbavu wenu. Eti anapigania, anapigania nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…