mnajisumbua tu hii nchi ina wenyewe mtatesa familia zenu na hakuna wakuwatetea baada ya kupata kipigoHakuna jipya hapo, Adv Mwabukusi hajakamatwa peke yake, hata Mdude Nyagali, na kamanda Nyaisunga, nao pia wamekamatwa, wote wako kutuo cha polisi, Mikumi, Morogoro.
Hapa tuwekane sawa tu, hayupo yeyote kati ya waliokamatwa ambaye hakujua matokeo ya kile wanachokipigania, wanachokifanya polisi sio kuwatisha, au kuwaogopesha, ni kuwafanya wawe imara zaidi kwenye mapambano.