Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

tangulia wewe watakukuta polisi ukiwa unarusha mawe
Mimi ni muhehe kiongozi wa wahehe wote jamii forum sisi tunayorekodi ya kutosa maganga dunia nzima inajua. Msiwe na wasiwasi juu ya hilo nakungoja wewe tuu twende
 
hizo ni porojo na vioja mpelekee mamako atakujibu huo uvundo wako
 
Haisikitishi, hii inasisimua, wanadhani Adv. Mwabukusi ndie pekee kupinga utoaji bure bandari zetu milele kwa mwarabu, wanajidanganya. Usiogope.
Hakuna cha Mwabukusi wala nzi yeyote kukatiza Mikumi, shenzi zenu. Eti Bandari imeuzwa, wekeni risiti ya EFD hapa tuone imeuzwa kiasi gani!!

Yaani tupitwe na Beira, Mombasa na Lobito sababu ya hawa wajinga wawili Mwabukusi na Mdude!! Pumbavu sana
 
Mimi ni Muislam sahahau kabisa huo ujinga wa kuwacha dini.

Unataka niwe kama wewe usiye na dini?
Bibi leo umeshauriwa vizuri maana dini yako angalau ingekufanya smart kama kikwete tungeona inakusaidia.
 
Mamlaka isifanye mambo kimihemko, madhara yatajayotokea Kwa Mwabukusi yatachochea chuki dhidi ya Samia, hii iliopo itakua maradufu.
huyo nyau hana lolote la kusababisha, serikali imewashughulikia watu wakubwa maarufu km Aboud Jumbe aliyekuwa rais wa Zanzibar, huyo nyau anatafuta umaarufu kwa bei rahisi agombee ubunge kule kwao, sisimizi tu huyo
 
This is a police state mimi sishangai. Kinachonishangaza ni reaction ya watu. Kwa sababu watu wanadhani haliwaathiri wao jwa sababu hawahudiki moja kwa moja. How wrong. Mnakumbuka 1990 wanafunzi wa UDSM walipinga suala zima la mikopo ya wanafunzi. Chuo kilifungwa na wanafunzi wa primary na secondary schools wakaandamana kuwalaani UDSM. Ujinga wao hawakufikiria kwamba nao wanapitia huko huko. Waliokuja kuathirika zaudi ni wao na mpaka leo watu wanapata shida na mikopo hiyo. The same is happening now. Believe me tutapata maumivu makubwa sana. In fact tumeshaanza. Tunatakiwa kulipa 1.5trn na kesi bado xinaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…