Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

Hawa keyboard warriors wana akili finyu sana. Wanadhani kosa la uhaini ni sawa na kuiba kuku. Lissu mwenyewe kiongozi wao wanaemsikiliza sana hajawahi kutamka uhaini kwa sababu anajua madhara yake.
 
mnajisumbua tu hii nchi ina wenyewe mtatesa familia zenu na hakuna wakuwatetea baada ya kupata kipigo
Kipigo ndio huleta mabadiliko. Ww bali na akili hizo hizo kuwa waliopata mlo ni haki yao, na ww ni haki yako kukosa.
 
Tunataka tumfahamu aliyesambaza habari za kutaka kuipindua serikali ni nani?
 
Nijuavyo mm, hatuna cello na magereza ya kutosha Watanganyika tunaodai Bandari zetu.

Tupo Wana CCM ,WAPINZANI na wasio na vyama!!

Kama tuliweza kumwondoa mkoloni mweupe, Hawa majizi hawatushindi.

HATUTAOGOPA!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kamanda toka shimoni uongee mbele ya wanaume. Mbona nyie waoga sana kukamatwa.
 
Acha mwembwe watanganyika njoo kituoni shubamit maneno mengi na watawataja wanao wafadhili mbumbavuuuuu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kamanda toka shimoni uongee mbele ya wanaume. Mbona nyie waoga sana kukamatwa.
Nijuavyo mm maandamano yameruhusiwa kisheria na kikatiba, na itabaki hivyo,

Watisheni wasiojua HAKI zao!!!
 
Mlikuwa mnasema awamu ya sita ni ya kitakatifu haitaki damu ya mtu mje mtuambie hawa wanakamatwa kwa kosa gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…