Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Hawa keyboard warriors wana akili finyu sana. Wanadhani kosa la uhaini ni sawa na kuiba kuku. Lissu mwenyewe kiongozi wao wanaemsikiliza sana hajawahi kutamka uhaini kwa sababu anajua madhara yake.Mumsaidie atoke sio mnaishia kusikitika tu.
kutikisa Muungano kuliwaweka ndani wale ma Sheikh wa Znz kwa zaidi ya miaka minane.
kuhamasisha uhaini ni kosa kubwa Dunia nzima, hadi sasa Donald Trump anahangaishwa kwa kosa hilo kule Marekani
Mama sasa ataanza kujua kwanini Hayati JPM hakuwa anacheza cheza na wahuni, yeye kataka kujifanya Mwema sasa wamemuonesha rangi zao halisi