Wakili Mwabukusi: IGP hatukuogopi, upo hapo kikatiba na kisheria, ukitaka siasa vua magwanda njoo jukwaani

Wewe ni mzalendo Mwakabusi. Ikependeza ukawa Rais
Watu kama hawa hawakumbukwi halafu anakumbukwa nyerere, muasisi wa katiba ya hovyo kuwahi kutokea inayotutesa mpaka hii leo na chama lake ccm. Eti rais ashtakiwi!!!, nchi ya hovyo sana hii.
Tupadilsihe katiba. Hatukujuwa tutapata Rais, Bunge linalojali maslahi ya a Waarabu kuliko Wataanyika.
 
Huyu bwege mwabukusi naye ameona ni fursa ya kutaka kujulikana kwa mgongo wa bandari
WEWE ndio wale tunaita bwege mtozeni.

Mmenasa chambo kudadeki. Mtatema tu. Bandari iko hapa nchi haiuzwi kizembe!

Tatizo mabwege/mazuzu/kenge km nyie bado mnaishi Jana.
 
Hana lolote mshamba huyo, IGP usimjibu, hao wanahaha kama mbwa koko mama kawakalia kimya. Hiyo ndiyo "resilience" kama walikuwa haelewi.

Hakuna ataewajibu nyinyi, tafokafoka na tutawajibu sisi wa mitandaoni. Msitafute kiki kupitia serikali.
 
Hivi huyo mwabukuzi ni chama gani?! Au ndiyo yupo chama kimoja na Mbatia??! Yote kwa yote akipewa nafasi kwenye hiyo serikali ya Muungano naamini hataikataa na itakuwa ndiyo mwisho wa kelele zake. Anatafuta kujulinana ya kwamba HAWAVUMI LAKINI WAMO. Wacha avume wakubwa wakifiria nafasi ya kumfaa kv ubalozi,ukatibu, au ukurugenzi hivi hatapiga kelele tena!
 
Huyo tena hana jipya umaarufu alioupata asubiri kuwa balizi wa bidhaa
 
Duuh! Huyu Mwamba Huyu. Apewe Maua Yake Ayanuse Mapema.

Maana Naona Si Muda Mrefu Wanaweza Wakamzima. Na Kama akishinda Battle Ya Chama Na Serikali Kwa Kweli Atastahili Kupewa Position Kubwa Hapa Tz Miaka Ijayo Kama Reward Ya Uzalendo Wake.
Narudia..anatengeneza cv ili agombee ubunge
 
Kwa hiyo IGP anapokea maagizo kutoka kwako siyo?
 
Wakili Mwabukisi ana kitu nyuma yake hio Sauti anayotoa sio Bure ni Sauti ya ushawishi sana Na iliyojaa ukuu na mamlaka uyu jamaa kwa kweli ni Gifted, Ukisikia Mungu hutumia watu ndio hapa sasa, Nashauri State bodies zi deal na uyu jamaa very caution vinginevyo tunaweza kutumbukiza Nchi kwenye hatari, The guy has God behind
 
IGP seems ni kama wale waliokuwa hawajulikani....
 
Ana uchungu na ujasiri nyuma yake.

Mbele yake yupo Mungu
 
nenda kule,unaingia unaambiwa 'now you are entering the United Arab Kingdom' ndani ya nchi?
Kama tutashindwa kulinda rasilimali za taifa kwaajili ya kizazi kijacho MUNGU aingilie kati kuwalindia
 
Hana lolote mshamba huyo, IGP usimjibu, hao wanahaha kama mbwa koko mama kawakalia kimya. Hiyo ndiyo "resilience" kama walikuwa haelewi.

Hakuna ataewajibu nyinyi, tafokafoka na tutawajibu sisi wa mitandaoni. Msitafute kiki kupitia serikali.
Hilooooooooooooooooooooooooooooooooooooo mnaaibika kweupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…