Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kama Mwambukusi ni bwege. Wewe usieona mbele utakuwa nani ?! JUHA au...Huyu bwege mwabukusi naye ameona ni fursa ya kutaka kujulikana kwa mgongo wa bandari
Wewe ni mzalendo Mwakabusi. Ikependeza ukawa RaisWakuu,
Akihojiwa na waandishi wa habari siku chache baada ya kuachiliwa na polisi kwa dhamana, wakili Mwabukusi amenukuliwa akisema."
Nataka nimwambie wazi IGP hatukuogopi, upo hapo kikatiba na kisheria, ukitaka siasa vua magwanda,toka kwenye bunduki njoo jukwaani." Hoja zetu za kisiasa anajibu kwa bunduki akiwa nyuma ya ofisi za umma, amevaa magwanda ya kiaskari? Alisema.
Aache watujibu, tunauliza maswali ya kitaaluma.
Pia amekemea Viongozi waliojigeuza miungu watu, nanukuu;
"Nchi hii kuna watu wamejigeuza miungu watu, wao na familia zao wanataka kugeuza watanganyika kama ngo'mbe wao zizini, watuswage kwenda machungani na kuturudisha muda wanaotaka. Nataka kuwaambia kama walifikiri sisi ni makondoo tumeshageuka kuwa wanambuzi wakorofi na tumeshanyanyua mkia kama ngiri na hawatatufuga tena.
Wanajificha kwenye kichaka mara waseme mapinduzi,sijui uhaini,mara waseme udini, kote huko ni kukwepa kuwajibika, sasa wanataka kupeleka sheria ya hovyo bungeni ili kujusfy IGA, na hii tunawaambia wabunge that luxury is long gone, na kwa sababu tulishaenda Mahakamani na mahakama ikasema haina uwezo wa kuingilia mambo ya bunge, hatutaenda mahakamani tena, tutatumia nguvu ya umma kuleta uwajibikaji, we will not go to court again, we do not have that time.
Ajabu,wanang'ang'ana na sisi tunaodiclose ubovu wa mkataba wanayaacha majizi na majitu yaliyolileta hapa taifa, yanakula na kutafuta vitumbua kwenye ofisi za umma, halafu unakimbizana na bonafide person ambaye anakwambia kuna shida mahali?
Kwahio ndugu zangu narudia kusema tena,IGA ni uvamizi wa taifa letu kiuchumi, bandari ni lango kwa taifa letu, bandari ni urithi tuliopewa na Mungu. Hatuwezi kuwa taifa la ubwege kiasi hiki, mbuga za wanyama tumewapa wageni, nenda kule,unaingia unaambiwa 'now you are entering the United Arab Kingdom' ndani ya nchi?
Tizama mahoteli yanayojengwa Ngorongoro pale,huku wamasai wakifurushwa kama wanyama kutoka kwenye ardhi yao,leo unataka kuniambia Mwarabu ndio ana Ikolojia ya Ngorongoro kuliko Mmasai? That is stupid aspect.
Halafu tukisema,watu wanasema wachochezi. Jamani hili taifa ni kwa ajili yetu,sisi hatujawekwa hapa kuwa watumwa na watwana wa wageni, tuna haki ya kufaidi fursa za kijamii, kiuchumi na kimaendeleo pamoja na kuzimiliki.
Kwahio, ndugu zetu mtuelewe, IGA sio nchi kwahio kuupinga haiwezi kuwa uhaini, IGA ni limkataba korokocho lililookotwa huko kizembe, watu wakafanya copy and paste wakifiri sisi ni mazuzu, tumelikataa."
Tupadilsihe katiba. Hatukujuwa tutapata Rais, Bunge linalojali maslahi ya a Waarabu kuliko Wataanyika.Watu kama hawa hawakumbukwi halafu anakumbukwa nyerere, muasisi wa katiba ya hovyo kuwahi kutokea inayotutesa mpaka hii leo na chama lake ccm. Eti rais ashtakiwi!!!, nchi ya hovyo sana hii.
Fani ambayo IGP ni mbobezi wake.Kazi ipo 🤔🤔!! Isije tu ikaanza ile mamb ya teka, tesa, uuuaaaaa!
WEWE ndio wale tunaita bwege mtozeni.Huyu bwege mwabukusi naye ameona ni fursa ya kutaka kujulikana kwa mgongo wa bandari
Huyo tena hana jipya umaarufu alioupata asubiri kuwa balizi wa bidhaaWakuu,
Akihojiwa na waandishi wa habari siku chache baada ya kuachiliwa na polisi kwa dhamana, wakili Mwabukusi amenukuliwa akisema."
Nataka nimwambie wazi IGP hatukuogopi, upo hapo kikatiba na kisheria, ukitaka siasa vua magwanda,toka kwenye bunduki njoo jukwaani." Hoja zetu za kisiasa anajibu kwa bunduki akiwa nyuma ya ofisi za umma, amevaa magwanda ya kiaskari? Alisema.
Aache watujibu, tunauliza maswali ya kitaaluma.
Pia amekemea Viongozi waliojigeuza miungu watu, nanukuu;
"Nchi hii kuna watu wamejigeuza miungu watu, wao na familia zao wanataka kugeuza watanganyika kama ngo'mbe wao zizini, watuswage kwenda machungani na kuturudisha muda wanaotaka. Nataka kuwaambia kama walifikiri sisi ni makondoo tumeshageuka kuwa wanambuzi wakorofi na tumeshanyanyua mkia kama ngiri na hawatatufuga tena.
Wanajificha kwenye kichaka mara waseme mapinduzi,sijui uhaini,mara waseme udini, kote huko ni kukwepa kuwajibika, sasa wanataka kupeleka sheria ya hovyo bungeni ili kujusfy IGA, na hii tunawaambia wabunge that luxury is long gone, na kwa sababu tulishaenda Mahakamani na mahakama ikasema haina uwezo wa kuingilia mambo ya bunge, hatutaenda mahakamani tena, tutatumia nguvu ya umma kuleta uwajibikaji, we will not go to court again, we do not have that time.
Ajabu,wanang'ang'ana na sisi tunaodiclose ubovu wa mkataba wanayaacha majizi na majitu yaliyolileta hapa taifa, yanakula na kutafuta vitumbua kwenye ofisi za umma, halafu unakimbizana na bonafide person ambaye anakwambia kuna shida mahali?
Kwahio ndugu zangu narudia kusema tena,IGA ni uvamizi wa taifa letu kiuchumi, bandari ni lango kwa taifa letu, bandari ni urithi tuliopewa na Mungu. Hatuwezi kuwa taifa la ubwege kiasi hiki, mbuga za wanyama tumewapa wageni, nenda kule,unaingia unaambiwa 'now you are entering the United Arab Kingdom' ndani ya nchi?
Tizama mahoteli yanayojengwa Ngorongoro pale,huku wamasai wakifurushwa kama wanyama kutoka kwenye ardhi yao,leo unataka kuniambia Mwarabu ndio ana Ikolojia ya Ngorongoro kuliko Mmasai? That is stupid aspect.
Halafu tukisema,watu wanasema wachochezi. Jamani hili taifa ni kwa ajili yetu,sisi hatujawekwa hapa kuwa watumwa na watwana wa wageni, tuna haki ya kufaidi fursa za kijamii, kiuchumi na kimaendeleo pamoja na kuzimiliki.
Kwahio, ndugu zetu mtuelewe, IGA sio nchi kwahio kuupinga haiwezi kuwa uhaini, IGA ni limkataba korokocho lililookotwa huko kizembe, watu wakafanya copy and paste wakifiri sisi ni mazuzu, tumelikataa."
Narudia..anatengeneza cv ili agombee ubungeDuuh! Huyu Mwamba Huyu. Apewe Maua Yake Ayanuse Mapema.
Maana Naona Si Muda Mrefu Wanaweza Wakamzima. Na Kama akishinda Battle Ya Chama Na Serikali Kwa Kweli Atastahili Kupewa Position Kubwa Hapa Tz Miaka Ijayo Kama Reward Ya Uzalendo Wake.
Kwa hiyo IGP anapokea maagizo kutoka kwako siyo?Hana lolote mshamba huyo, IGP usimjibu, hao wanahaha kama mbwa koko mama kawakalia kimya. Hiyo ndiyo "resilience" kama walikuwa haelewi.
Hakuna ataewajibu nyinyi, tafokafoka na kujamba kujamba tutawajibu sisi wa mitandaoni. Msitafute kiki kupitia serikali.
IGP seems ni kama wale waliokuwa hawajulikani....Wakuu,
Akihojiwa na waandishi wa habari siku chache baada ya kuachiliwa na polisi kwa dhamana, wakili Mwabukusi amenukuliwa akisema."
Nataka nimwambie wazi IGP hatukuogopi, upo hapo kikatiba na kisheria, ukitaka siasa vua magwanda,toka kwenye bunduki njoo jukwaani." Hoja zetu za kisiasa anajibu kwa bunduki akiwa nyuma ya ofisi za umma, amevaa magwanda ya kiaskari? Alisema.
Aache watujibu, tunauliza maswali ya kitaaluma.
Pia amekemea Viongozi waliojigeuza miungu watu, nanukuu;
"Nchi hii kuna watu wamejigeuza miungu watu, wao na familia zao wanataka kugeuza watanganyika kama ngo'mbe wao zizini, watuswage kwenda machungani na kuturudisha muda wanaotaka. Nataka kuwaambia kama walifikiri sisi ni makondoo tumeshageuka kuwa wanambuzi wakorofi na tumeshanyanyua mkia kama ngiri na hawatatufuga tena.
Wanajificha kwenye kichaka mara waseme mapinduzi,sijui uhaini,mara waseme udini, kote huko ni kukwepa kuwajibika, sasa wanataka kupeleka sheria ya hovyo bungeni ili kujusfy IGA, na hii tunawaambia wabunge that luxury is long gone, na kwa sababu tulishaenda Mahakamani na mahakama ikasema haina uwezo wa kuingilia mambo ya bunge, hatutaenda mahakamani tena, tutatumia nguvu ya umma kuleta uwajibikaji, we will not go to court again, we do not have that time.
Ajabu,wanang'ang'ana na sisi tunaodiclose ubovu wa mkataba wanayaacha majizi na majitu yaliyolileta hapa taifa, yanakula na kutafuta vitumbua kwenye ofisi za umma, halafu unakimbizana na bonafide person ambaye anakwambia kuna shida mahali?
Kwahio ndugu zangu narudia kusema tena,IGA ni uvamizi wa taifa letu kiuchumi, bandari ni lango kwa taifa letu, bandari ni urithi tuliopewa na Mungu. Hatuwezi kuwa taifa la ubwege kiasi hiki, mbuga za wanyama tumewapa wageni, nenda kule,unaingia unaambiwa 'now you are entering the United Arab Kingdom' ndani ya nchi?
Tizama mahoteli yanayojengwa Ngorongoro pale,huku wamasai wakifurushwa kama wanyama kutoka kwenye ardhi yao,leo unataka kuniambia Mwarabu ndio ana Ikolojia ya Ngorongoro kuliko Mmasai? That is stupid aspect.
Halafu tukisema,watu wanasema wachochezi. Jamani hili taifa ni kwa ajili yetu,sisi hatujawekwa hapa kuwa watumwa na watwana wa wageni, tuna haki ya kufaidi fursa za kijamii, kiuchumi na kimaendeleo pamoja na kuzimiliki.
Kwahio, ndugu zetu mtuelewe, IGA sio nchi kwahio kuupinga haiwezi kuwa uhaini, IGA ni limkataba korokocho lililookotwa huko kizembe, watu wakafanya copy and paste wakifiri sisi ni mazuzu, tumelikataa."
Ana uchungu na ujasiri nyuma yake.Wakili Mwabukisi ana kitu nyuma yake hio Sauti anayotoa sio Bure ni Sauti ya ushawishi sana Na iliyojaa ukuu na mamlaka uyu jamaa kwa kweli ni Gifted, Ukisikia Mungu hutumia watu ndio hapa sasa, Nashauri State bodies zi deal na uyu jamaa very caution vinginevyo tunaweza kutumbukiza Nchi kwenye hatari, The guy has God behind
Mkuu regardless jamaa ana Serve for his Future interest, Ila mwamba ana Deserve sana uko mbele, Ameonesha ujasili Mkubwa sana na Uzalendo, May God be with him, Tunamuombea sanaAna uchungu na ujasiri nyuma yake.
Mbele yake yupo Mungu
Kama tutashindwa kulinda rasilimali za taifa kwaajili ya kizazi kijacho MUNGU aingilie kati kuwalindianenda kule,unaingia unaambiwa 'now you are entering the United Arab Kingdom' ndani ya nchi?
Yes, ulitaka apokee kwa mwambulukusi?Kwa hiyo IGP anapokea maagizo kutoka kwako siyo?
Hilooooooooooooooooooooooooooooooooooooo mnaaibika kweupe.Hana lolote mshamba huyo, IGP usimjibu, hao wanahaha kama mbwa koko mama kawakalia kimya. Hiyo ndiyo "resilience" kama walikuwa haelewi.
Hakuna ataewajibu nyinyi, tafokafoka na tutawajibu sisi wa mitandaoni. Msitafute kiki kupitia serikali.