Ccm hawataki katiba mpya ili waendelee kuwa na nguvu ya kuendesha majeshi kwa maslahi binafsi ya kichama,
Mkuu wa wilaya kapewa mamlaka ya kuamuru kamati ya ulinzi ya wilaya na ikatii bila kuuliza chochote
Sasa kwa namna hiyo mambo kama haya hayawezi kuisha ni lazima tuambiane ukweli, vyama viondolewe nguvu ya kutoa maelekezo kwa jeshi la polisi, na jesh lijisimamie kwa mujibu wa sheria na awajibishwe mmoja mmoja pindi anaposhindwa kutekeleza sheria.
Hizi kauli za maelekezo kutoka juu zitaisha, bila hivyo miaka million hakuna kitakacho badilika