leta hoja ujibiwe sio kuuliza maswali ya kishule shule
hoja yako nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
leta hoja ujibiwe sio kuuliza maswali ya kishule shule
shujaa ni yule anaefia vitani.....wewe ambaye utaki kujulikana unalisaidiaje Taifa lako???Huyu mwabukusi naye ameona ni fursa ya kutaka kujulikana kwa mgongo wa bandari
Mimi najibu kutokana na ulichouliza,na nauliza kutokana na ulichojibu.leta hoja ujibiwe sio kuuliza maswali ya kishule shule
hoja yako nini?
Kutowesha amani ndio kukoje?Kwa hiyo Mwabukusi ana ubavu na misuli ya kutowesha amani mbele ya Samia? Au hakumsikia bibie kule Arusha.
CCM ikikosa nguvu ya dola inaanguka bila hata kusukumwaCcm hawataki katiba mpya ili waendelee kuwa na nguvu ya kuendesha majeshi kwa maslahi binafsi ya kichama,
Mkuu wa wilaya kapewa mamlaka ya kuamuru kamati ya ulinzi ya wilaya na ikatii bila kuuliza chochote
Sasa kwa namna hiyo mambo kama haya hayawezi kuisha ni lazima tuambiane ukweli, vyama viondolewe nguvu ya kutoa maelekezo kwa jeshi la polisi, na jesh lijisimamie kwa mujibu wa sheria na awajibishwe mmoja mmoja pindi anaposhindwa kutekeleza sheria.
Hizi kauli za maelekezo kutoka juu zitaisha, bila hivyo miaka million hakuna kitakacho badilika