Wakili Mwabukusi: IGP hatukuogopi, upo hapo kikatiba na kisheria, ukitaka siasa vua magwanda njoo jukwaani

Wakili Mwabukusi: IGP hatukuogopi, upo hapo kikatiba na kisheria, ukitaka siasa vua magwanda njoo jukwaani

Kwa hiyo Mwabukusi ana ubavu na misuli ya kutowesha amani mbele ya Samia? Au hakumsikia bibie kule Arusha.
 
Ccm hawataki katiba mpya ili waendelee kuwa na nguvu ya kuendesha majeshi kwa maslahi binafsi ya kichama,
Mkuu wa wilaya kapewa mamlaka ya kuamuru kamati ya ulinzi ya wilaya na ikatii bila kuuliza chochote

Sasa kwa namna hiyo mambo kama haya hayawezi kuisha ni lazima tuambiane ukweli, vyama viondolewe nguvu ya kutoa maelekezo kwa jeshi la polisi, na jesh lijisimamie kwa mujibu wa sheria na awajibishwe mmoja mmoja pindi anaposhindwa kutekeleza sheria.

Hizi kauli za maelekezo kutoka juu zitaisha, bila hivyo miaka million hakuna kitakacho badilika
CCM ikikosa nguvu ya dola inaanguka bila hata kusukumwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom