Wakili Mwabukusi: IGP hatukuogopi, upo hapo kikatiba na kisheria, ukitaka siasa vua magwanda njoo jukwaani

Mkuu regardless jamaa ana Serve for his Future interest, Ila mwamba ana Deserve sana uko mbele, Ameonesha ujasili Mkubwa sana na Uzalendo, May God be with him, Tunamuombea sana
Hakika hakika
 
Hana lolote mshamba huyo, IGP usimjibu, hao wanahaha kama mbwa koko mama kawakalia kimya. Hiyo ndiyo "resilience" kama walikuwa haelewi.

Hakuna ataewajibu nyinyi, tafokafoka na tutawajibu sisi wa mitandaoni. Msitafute kiki kupitia serikali.
Bibi kwanini usibaki kule kwenye Uzi wako wa mapambio wa RRRR, mana uzi huu unakukataa Unapwaya sana apa
 
Hivi huyo mwabukuzi ni chama gani?! Au ndiyo yupo chama kimoja na Mbatia??! Yote kwa yote akipewa nafasi kwenye hiyo serikali ya Muungano naamini hataikataa na itakuwa ndiyo mwisho wa kelele zake. Anatafuta kujulinana ya kwamba HAWAVUMI LAKINI WAMO. Wacha avume wakubwa wakifiria nafasi ya kumfaa kv ubalozi,ukatibu, au ukurugenzi hivi hatapiga kelele tena!
Ameshavuka level za kuhongwa huyo,hizi nafasi zisubiri wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuma juu ya chumaaa………! Hakika @fiaza foxy na The Boss wana hara muda huu si kwa hizi nondo!
 
Hizi Nondo za Mwambukusi ni hatari sana sana…! No wonder Samia anaendelea kunyamaza
 
Wakili Mwabukisi ana kitu nyuma yake hio Sauti anayotoa sio Bure ni Sauti ya ushawishi sana Na iliyojaa ukuu na mamlaka uyu jamaa kwa kweli ni Gifted, Ukisikia Mungu hutumia watu ndio hapa sasa, Nashauri State bodies zi deal na uyu jamaa very caution vinginevyo tunaweza kutumbukiza Nchi kwenye hatari, The guy has God behind
Kabisa,anaongea kimamlaka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huyo mwabukuzi ni chama gani?! Au ndiyo yupo chama kimoja na Mbatia??! Yote kwa yote akipewa nafasi kwenye hiyo serikali ya Muungano naamini hataikataa na itakuwa ndiyo mwisho wa kelele zake. Anatafuta kujulinana ya kwamba HAWAVUMI LAKINI WAMO. Wacha avume wakubwa wakifiria nafasi ya kumfaa kv ubalozi,ukatibu, au ukurugenzi hivi hatapiga kelele tena!
Jobu hoja wewe
 
Hana lolote mshamba huyo, IGP usimjibu, hao wanahaha kama mbwa koko mama kawakalia kimya. Hiyo ndiyo "resilience" kama walikuwa haelewi.

Hakuna ataewajibu nyinyi, tafokafoka na tutawajibu sisi wa mitandaoni. Msitafute kiki kupitia serikali.
Ulikuwa unasema wameufyata,

Na tumeshajua kumbe, Dubai Wala hawahusiki, mhusika ni DP world wa mchongo.

Tutafahamiana time hii!!
 
Hana lolote mshamba huyo, IGP usimjibu, hao wanahaha kama mbwa koko mama kawakalia kimya. Hiyo ndiyo "resilience" kama walikuwa haelewi.

Hakuna ataewajibu nyinyi, tafokafoka na tutawajibu sisi wa mitandaoni. Msitafute kiki kupitia serikali.
Sio asimjibu,hata akiamua kujibu uwezo wa kujibu hizo hoja hana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi jamani Gas ya Mtwara umetusaidia nini kama wazawa maana kupitisha ule Mkataba Bunge lilikaa mpaka saa Nnee usiku
 
Back
Top Bottom