Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Hakika hakikaMkuu regardless jamaa ana Serve for his Future interest, Ila mwamba ana Deserve sana uko mbele, Ameonesha ujasili Mkubwa sana na Uzalendo, May God be with him, Tunamuombea sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika hakikaMkuu regardless jamaa ana Serve for his Future interest, Ila mwamba ana Deserve sana uko mbele, Ameonesha ujasili Mkubwa sana na Uzalendo, May God be with him, Tunamuombea sana
Bibi kwanini usibaki kule kwenye Uzi wako wa mapambio wa RRRR, mana uzi huu unakukataa Unapwaya sana apaHana lolote mshamba huyo, IGP usimjibu, hao wanahaha kama mbwa koko mama kawakalia kimya. Hiyo ndiyo "resilience" kama walikuwa haelewi.
Hakuna ataewajibu nyinyi, tafokafoka na tutawajibu sisi wa mitandaoni. Msitafute kiki kupitia serikali.
Utatandikwa wewe na task force yakoIvi task force mnashindwaje kumtandika njugu huyu terrorist
Ameshavuka level za kuhongwa huyo,hizi nafasi zisubiri weweHivi huyo mwabukuzi ni chama gani?! Au ndiyo yupo chama kimoja na Mbatia??! Yote kwa yote akipewa nafasi kwenye hiyo serikali ya Muungano naamini hataikataa na itakuwa ndiyo mwisho wa kelele zake. Anatafuta kujulinana ya kwamba HAWAVUMI LAKINI WAMO. Wacha avume wakubwa wakifiria nafasi ya kumfaa kv ubalozi,ukatibu, au ukurugenzi hivi hatapiga kelele tena!
Jibu hoja zake kwanzaHuyo tena hana jipya umaarufu alioupata asubiri kuwa balizi wa bidhaa
CV ya ubunge inatengenezwa hivyo?Narudia..anatengeneza cv ili agombee ubunge
Huyu mzalendo ni jasiri sanaMwakabusi ni Mzalendo wa ukweli. Maoni yake ni maoni ya Watanganyika na Watanzania wengi.
Kabisa,anaongea kimamlaka sanaWakili Mwabukisi ana kitu nyuma yake hio Sauti anayotoa sio Bure ni Sauti ya ushawishi sana Na iliyojaa ukuu na mamlaka uyu jamaa kwa kweli ni Gifted, Ukisikia Mungu hutumia watu ndio hapa sasa, Nashauri State bodies zi deal na uyu jamaa very caution vinginevyo tunaweza kutumbukiza Nchi kwenye hatari, The guy has God behind
Sasahivi ameshajulikana ndio maana anakabiliwa vilivyoIGP seems ni kama wale waliokuwa hawajulikani....
Ni kweli kabisa,inabidi tukomae sanaKama tutashindwa kulinda rasilimali za taifa kwaajili ya kizazi kijacho MUNGU aingilie kati kuwalindia
Tutasimamia upya kama enzi ileee🏃🏃Kazi ipo 🤔🤔!! Isije tu ikaanza ile mamb ya teka, tesa, uuuaaaaa!
Jobu hoja weweHivi huyo mwabukuzi ni chama gani?! Au ndiyo yupo chama kimoja na Mbatia??! Yote kwa yote akipewa nafasi kwenye hiyo serikali ya Muungano naamini hataikataa na itakuwa ndiyo mwisho wa kelele zake. Anatafuta kujulinana ya kwamba HAWAVUMI LAKINI WAMO. Wacha avume wakubwa wakifiria nafasi ya kumfaa kv ubalozi,ukatibu, au ukurugenzi hivi hatapiga kelele tena!
Ulikuwa unasema wameufyata,Hana lolote mshamba huyo, IGP usimjibu, hao wanahaha kama mbwa koko mama kawakalia kimya. Hiyo ndiyo "resilience" kama walikuwa haelewi.
Hakuna ataewajibu nyinyi, tafokafoka na tutawajibu sisi wa mitandaoni. Msitafute kiki kupitia serikali.
AiseeMbinu ya "divide and rule" hii huyo mwakubusi na mwezake aliyekaa nae pembeni ni wasiojulikana [emoji4]
Sio asimjibu,hata akiamua kujibu uwezo wa kujibu hizo hoja hana.Hana lolote mshamba huyo, IGP usimjibu, hao wanahaha kama mbwa koko mama kawakalia kimya. Hiyo ndiyo "resilience" kama walikuwa haelewi.
Hakuna ataewajibu nyinyi, tafokafoka na tutawajibu sisi wa mitandaoni. Msitafute kiki kupitia serikali.
Kuna mstaafu alishaiuza ile,kwahio imetusaidia tuendelee kuwa ombaomba zaidiHivi jamani Gas ya Mtwara umetusaidia nini kama wazawa maana kupitisha ule Mkataba Bunge lilikaa mpaka saa Nnee usiku