Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
Adakwe na nani,wakati yeye ni miongoni mwa wadakaji.Wakishirikisha mitandao ya simu, anadakwa fasta. Sema nini, wasiojulikana
Mtenda haumii mpaka akitendwa yeyeKinachoshangaza haya mauaji, vitisho, utekaji, na kupotezwa; tunafanyiwa raia wa Tanganyika tu! Huku Rais aliyeko madarakani akiwa na asili ya nchi jirani ya Zanzibar! Na binafsi sijawahi kumsikia akikemea au kuchukua hatua za kukomesha haya mauzauza!
Je, ndiyo kusema hana uchungu? Wangekuwa wanafanyiwa hivi Wazanzibari, angeendelea pia kufumba macho na kuziba masikio? Je, ni wakati sasa kwa Watanganyika kuamka na kukomesha haya maovu, au tuendelee kulala usingizi wa pono?
Huyu mzanzibari wala hana habari na maumivu wanayapitia watanganyika. Yeye amekazana kupora fedha tu na kuzipeleka nchini kwake.Wangekuwa wanafanyiwa hivi Wazanzibari,
Ndiyo maana kwa upande wangu sioni umuhimu wowote ule wa huo muungano wao wa kipuuzi. Tungekuwa na Kiongozi mzalendo, asingekubali kamwe kuiendesha nchi kwa mfumo huu wa sasa.Huyu mzanzibari wala hana habari na maumivu wanayapitia watanganyika. Yeye amekazana kupora fedha tu na kuzipeleka nchini kwake.
Wakati Mtanganyika Mkappa anaua Wazanzibar ulikuwepo Tanganyika ? Unafikiri Wazanzibar wamesahau ?Kinachoshangaza haya mauaji, vitisho, utekaji, na kupotezwa; tunafanyiwa raia wa Tanganyika tu! Huku Rais aliyeko madarakani akiwa na asili ya nchi jirani ya Zanzibar! Na binafsi sijawahi kumsikia akikemea au kuchukua hatua za kukomesha haya mauzauza!
Je, ndiyo kusema hana uchungu? Wangekuwa wanafanyiwa hivi Wazanzibari, angeendelea pia kufumba macho na kuziba masikio? Je, ni wakati sasa kwa Watanganyika kuamka na kukomesha haya maovu, au tuendelee kulala usingizi wa pono?
At kifo ni kifo tuu.Kinachoshangaza haya mauaji, vitisho, utekaji, na kupotezwa; tunafanyiwa raia wa Tanganyika tu! Huku Rais aliyeko madarakani akiwa na asili ya nchi jirani ya Zanzibar! Na binafsi sijawahi kumsikia akikemea au kuchukua hatua za kukomesha haya mauzauza!