PreGE2025 Wakili Mwabukusi: Ninatumiwa Jumbe za Vitisho "KUPOTEZWA" na namba 0792705831

PreGE2025 Wakili Mwabukusi: Ninatumiwa Jumbe za Vitisho "KUPOTEZWA" na namba 0792705831

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
HUYU MPUMBAVU mwenye No Hii 0792 705831 anajaribu kunitisha. Nimemtaarifu kuwa haitaji kunivizia kama alivhosema ninarudi mbeya kushughukikia sula la Mdude Nyagali na nimeaama hiki mdiyo kiyama vha ujinga huu na nina hamu ya kuonana naye. Huu ndiyo Ujumbe wake

Unapenda sifa sana jiandae kuacha mjane na yatima ww njoo mbeya kama ulivo sema tuowindane ulipo tupo njoo uone kama mdomo wako utakusaidia zaidi ya kukuangamiza **** nyoko kama uwakili umekushinda iambie familia yako na kuiaga kuwa uko vitani Mambo vip naona unabwabwaja sana unatakasifa au. Ww mwambie pengo ajiandae vizuri hii dunia ni ndogo mbeya iko kiganjani na ww acha kamdomo.

SINTA BABAISHWA,SINTA TETERESHWA NA SINA KIPAJI CHA WOGA.
Duh 🙄
 
Screenshot_2025-05-10-15-20-35-1.png
 
Huo mwandiko hawa watakua polisisiem form 4 divisheni zero😀,
Kumbe wanajua kuna mbingu halafu wanajifanya hamnazo,
Eti unajifanya Tomaso?

Safari hii tutawajua hadi kwa sura wajinga hawa,wake zao wajiandae kuwa wajane na watoto mayatima
 
Hata Kitima aliambiwa dawa yake inachemka siku 2 mbele wakamshambulia.

Tunaambiwa uchunguzi unaendelea..pengine labda ni uchuuzi sio uchunguzi wao ndio wanachanganya lugha.View attachment 3330061
Hii isiachwe iende bure,tunajua Mwabukusi anajiamini,ila awekewe ulinzi fulani ili safari hawa mashetani wakutane na chuma
 
Back
Top Bottom