Serikali isipomfuatilia aliyetuma huu ujumbe na kumtia hatiani, sasa ndio tutahitimisha rasimi kuwa serikali ya Samia inahusika kwa 100% kwenye matukio yote machafu ya utekaji na mauaji yanayohusishwa na siasa kipindi hiki.
Na pia pia vile tutatambua rasimi sasa kuwa Serikali ndio adui mkubwa wa usalama wa raia.
Kazi kwenu Polisi kufuatilia tuhuma hizi nzito simu hiyo ili pitiia mnara gani, kampuni gani ya simu, muda, jina na namba.
TOKA MAKTABA :
Pia kwa nyongeza kujiwezesha kiufahamu, Ili kusadiki jinsi ya vyombo vya dola kwa kutumia teknolojia wanaweza kumfuatilia na kumbaini mwenye namba ya simu :
Jinsi mitandao ya simu inavyotumiwa na wasiojulikana kufuatilia nyendo za watu:
Jinsi ya Kuepuka Kutekwa nyara na watu wasiojulikana ambao pia hawajulikani na 'Serikali Nzima' - MORARA KEBASO AFICHUA
View: https://m.youtube.com/watch?v=inj9f4BUxVw
Kifaa chako cha kieletroniki kinavyoweza kuwasaidia watu wasiojulikana kukufuatilia kwa njia zifuatazo :
- Trailing and surveillance
- Triangulation
- SIM CARD
- IMEI
- LUKU malipo ya umeme kujua makazi
- APPS za mikopo kuruhusu kufahamu contacts /picha / mikopo chechefu unayodaiwa kama ipo n.k
- Hacking Software
- Text msg
- Dating sites
- SIMU kuwa ya moto bila kuitumia
- Microphone ya simu
- Camera ya simu kuchukua mazingira uliyopo
- Hata simu za kiswaswadu si salama
- N.k