The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Ben Saaneet alilalamika kutishiwa uhai Kwa kuttumiwa jumble kama hizi Tena humu jamvini akabezwa matokeo Yake.Serikali isipomfuatilia aliyetuma huu ujumbe na kumtia hatiani, sasa ndio tutahitimisha rasimi kuwa serikali ya Samia inahusika kwa 100% kwenye matukio yote machafu ya utekaji na mauaji yanayohusishwa na siasa kipindi hiki.
Na pia pia vile tutatambua rasimi sasa kuwa Serikali ndio adui mkubwa wa usalama wa raia.
Tusichukulie Kwa wepesi hivi vitisho.
Nyau de adriz