Waafrika sijui kama tunajua hitaji letu hasa. Binafsi huwa nasema vyombo vya Usalama vifanye kazi
1. Kulinda raia wake kwa weledi
2. Eliminate wasakitikwa gharama yoyote ilawajiiridhishe pasipo shaka kuwamwenzetu amesaliti kambi
3. Wasitumikekwa kununuliwa kuuza haki na kunyamazisha ukweli kwa sababu ya kiongozi anayetaka sifana kuwahonga
4. Sio kuwa Killer Elite kwa raia wasio na hatia na kuwapigia salute wezi, wabadilifu eti kwa kuwawako high profile asitumike kisiasa
5. Wazuie wapuuzi wanaotumia siasa kutengeneza vurugu zilizoratibiwana adui wa nchi.
6. Wakatae kutesa au kuua wenzao walio kwenye kutetea ukweli hata ikbidi mapinduzi ya amani.
Sisi soteni ndugu tunagombanishwa ,maana ya kuelimika haipo kama tunanunulika