PreGE2025 Wakili Mwabukusi: Ninatumiwa Jumbe za Vitisho "KUPOTEZWA" na namba 0792705831

PreGE2025 Wakili Mwabukusi: Ninatumiwa Jumbe za Vitisho "KUPOTEZWA" na namba 0792705831

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kinachoshangaza haya mauaji, vitisho, utekaji, na kupotezwa; tunafanyiwa raia wa Tanganyika tu! Huku Rais aliyeko madarakani akiwa na asili ya nchi jirani ya Zanzibar! Na binafsi sijawahi kumsikia akikemea au kuchukua hatua za kukomesha haya mauzauza!

Je, ndiyo kusema hana uchungu? Wangekuwa wanafanyiwa hivi Wazanzibari, angeendelea pia kufumba macho na kuziba masikio? Je, ni wakati sasa kwa Watanganyika kuamka na kukomesha haya maovu, au tuendelee kulala usingizi wa pono?
Inafikirisha sana
 
Kwahiyo wewe mpaka leo hii ilikuwa hujui kuwa pesa zinaidhinishwa na serikali ili kuwalipa hawa wauaji?
Pole
Hamna atakachofanyiwa na mtu yeyote
Hapana siku zote mimi nimekuwa nikiamini 100% haya matukio ya kikatili tunayoyaona yanafanywa na serikali sema tu naona sasa tunakoelekea tutapata uthibitisho rasimi usiokuwa na shaka kuwa Samia na serikali yake ndio wahusika na sio mtu mwingine.
 
Hii isiachwe iende bure,tunajua Mwabukusi anajiamini,ila awekewe ulinzi fulani ili safari hawa mashetani wakutane na chuma
Naam tena iwe kampuni ya ulinzi na waambiwe akija yeyote haeleweki pambana nae
Hatuko salama na sasa kifuatacho ni kuanza kujilinda no way maana sasa kila mtu anafuatwa
 
Mwabukusi alishaweka wazi kuwa haogopi vitisho
Sasa huyo jambazi,ina maana hakumsikia vizuri Mwabukusi hadi amtishe?
Yeye aende kupambana naye ila aajue tu Mwabukusi watu wanamuombea sana kwa Mungu maombi ya ulinzi na Mungu apigane na watesi wake.
Huyu jamaa ni potential ya kipekee sana yaani huyu maombi kwake ni muhimu na ulinzi kwake uwe wa kutosha
 
Upumbavu wenu msiwahusi
Kinachoshangaza haya mauaji, vitisho, utekaji, na kupotezwa; tunafanyiwa raia wa Tanganyika tu! Huku Rais aliyeko madarakani akiwa na asili ya nchi jirani ya Zanzibar! Na binafsi sijawahi kumsikia akikemea au kuchukua hatua za kukomesha haya mauzauza!

Je, ndiyo kusema hana uchungu? Wangekuwa wanafanyiwa hivi Wazanzibari, angeendelea pia kufumba macho na kuziba masikio? Je, ni wakati sasa kwa Watanganyika kuamka na kukomesha haya maovu, au tuendelee kulala usingizi wa pono?
she Wazanzibari , kwani wao ndio wanaonyeshana undava na Serikali?
Wale Uamsho wakati ule Walikua Watanganyika wale? Mliwahi kufungua vijaluba vyenu kuwatetea?Sana sana mlikua mkiwakejeli kuwa ni MAGAIDI.
Kama mtasema hayo ni awamu ya nyuma, vipi yule mzee Baraka Shamte au zile kesi kadhaa Pemba.
Uraisi ni taasisi, si kila kinachofanyika kwenye Taasisi kiongozi wake ameelekeza kifanyike kwa nanma hiyo au hata kuwa na habari tu kama kimefanyika bila kupewa taarifa rasmi.
Tujenge utamaduni wa kutii Sheria bila shufiti, tunapokosoa au kushauri tukosoe au kushauri kwa staha.
Matusi, dharau kiburi , kutotii Sheriana kujimwambafai kwa Mamlaka halali
Hivi mkamiliza hizi kazi huwa mnajisikiaje you don't feel any guilty?
A feel nini, ni kama jambazi tu au watu wasio na dini au watu wanaoamini nikitenda dhambi naweza kwenda kuungama kwa binaadamu mwenzangu kiongozi wa dini atanifutia makosa yangu.
Watu kama hawa wakikupa vitisho na ukajua kua hatanii kama chonjo.
Si hasha hata elimu zao zinakua za chini sana na pengine wakipewa mission wanakula kiapo kabla ya utekelezaji.
 
NAOMBA UNIAJIRI KAMA MLINZI WAKO NINA BLACK BELT NIMEBOBEA KWENYE KARATE,KUNGFU,TAIKONDO,MATIAL ART,PIA NINA MAFUNZO YA KININJA NINAUWEZO WA KUPOTEA MBELE YA MAANDUI NINA UWEZO WA KUTUMIA AINA YEYOTE YA SILAHA NINAUZOEFU WA KUTUMIA ORGANI ZA MWILI SEHEMU HATARISHI..SINA AJIRA YEYOTE NIPO MTAANI NAGONGA KOKOTO TU UKINIITAJI NI PM...
Mcheck Boss wa TLS hatuhitaji akose ulinzi
 
Upumbavu wenu msiwahusi

she Wazanzibari , kwani wao ndio wanaonyeshana undava na Serikali?
Wale Uamsho wakati ule Walikua Watanganyika wale? Mliwahi kufungua vijaluba vyenu kuwatetea?Sana sana mlikua mkiwakejeli kuwa ni MAGAIDI.
Kama mtasema hayo ni awamu ya nyuma, vipi yule mzee Baraka Shamte au zile kesi kadhaa Pemba.
Uraisi ni taasisi, si kila kinachofanyika kwenye Taasisi kiongozi wake ameelekeza kifanyike kwa nanma hiyo au hata kuwa na habari tu kama kimefanyika bila kupewa taarifa rasmi.
Tujenge utamaduni wa kutii Sheria bila shufiti, tunapokosoa au kushauri tukosoe au kushauri kwa staha.
Matusi, dharau kiburi , kutotii Sheriana kujimwambafai kwa Mamlaka halali

A feel nini, ni kama jambazi tu au watu wasio na dini au watu wanaoamoni nikitenda dhambi naweza kwenda kuungama na binaadamu meenzangu kiongozi wa dini atanifutia makosa yangu.
Watu kama hawa wakikupa vitisho na ukajua kua hatanii kama chonjo.
Si hasha hata elimu zao zinakua za chini sana na pengine wakipesa mission wanakuls kiapo kabla ya utekelezaji.
Kukosoa kwa staha ndo kupoje?
 
Bila matusi au kejeli.
Mfano mtoto wako wa KG au STD I ameshindwa baadhi ya maswali ya HESABATI, badala kumuita we bichwa maji unakosaje hapa, kazi kula na kuzaja choo hili ndilo swali la kukushinda? mbumbavu.
Muite kwa upole, msikilize upate kujua nini kilimkosesha,uzembe hakuelewa darasani, wakati wazoezi alikua anaumwa au hajisikii. Unaloweza kulitatua unalitatua friendly.
The same apply to every aspects.
Lakini kujifanya mwanaharati wa kutaka sifa kwa watu utaumizwa tu.
Nikutobolee Siri, Hao unaowaona wanaharati sio WOTE wanamaanisha wengine wapo kwenye government payroll hawaguswi, sasa wewe jichangane ukiambiwa usichanganye na za kwako.
 
Wakishirikisha mitandao ya simu, anadakwa fasta. Sema nini, wasiojulikana
Mbona hao wa lipa kwa namba hii wameshindwa kuwadaka? Kuna matapeli ya kwenye mtandao yanayotumia simu kuvuna mabilioni ya fedha kila mwezi na wameshindws kuyadaka. Na hii si kwa Tanzania tu bali ni duniani kote.
 
Serikali isipomfuatilia aliyetuma huu ujumbe na kumtia hatiani, sasa ndio tutahitimisha rasimi kuwa serikali ya Samia inahusika kwa 100% kwenye matukio yote machafu ya utekaji na mauaji yanayohusishwa na siasa kipindi hiki.

Na pia pia vile tutatambua rasimi sasa kuwa Serikali ndio adui mkubwa wa usalama wa raia.
Mkubwa, unataka uhitimishe mara ngapi?

Umeyasoma ama kuyasikia majibu ya Spika kwa nini hawajadili utekaji na upotezaji wa watu?

Tusipotia akili za kujihami tunaisha.
 
Back
Top Bottom